Habari zenu wana Jf Garage!
Wakuu nataka kununua gari hivyo naomba ushauri na maoni yenu wakuu. Ni vitu gani inabidi niviangalie na kuzingatia kabla ya kununua gari?
Ilianza tu ghafla kuwa kuna wakati naendesha inakata mafuta. Nikapeleka kwa fundi akasema ni pump ya mafuta tukabadilisha.ikaendelea pia kwa muda flan pia inakata hivyo hivyo baada ya mwendo flan...
Nchini Uganda kuna kampuni nyingi zilizosajiliwa kabisa iwapo unataka kununua gari kutoka sehemu rasmi au kwa mtu binafsi unawalipa fedha fulani kisha wao wanalikagua gari na kukupatia ripoti...
Wakuu kama uonavyo juu hii gari inatumia kiongeza mwendo cha umeme hakuna waya (cable) hivyo hakuna pakuadjust hivyo silence iko juu katika pedal imepunguzwa hadi mwisho.
Kwa wale tunaopenda kununua magari kupitia mtandaoni hizo odometer km zinazoonyeswa ni za kweli au feki zinaweza kurekebishwa ili kuuza ?
Mfano unakuta aina ya gari hiyo hiyo za...
Habari wadau,gari yangu freelander linagonga mbele hasa ninapopita roughroad nimebadili stblizerlink na stablizerbushes kwa maelekezo ya fundi lakini bado inagonga jana kaniambia nibadiri...
Wanajukwaa nahitaji kununua gari ila nimekua njia panda naomba kujua kati ya hizi gari mbili faida na hasara au ipi bora na imara kuliko nyingine ili nifanye maamuzi 1.
Rav 4 new model au maarufu...
habarini wanajamvi!Ni miezi mitano toka nmenunua pikipiki aina ya kinglion hivi karibuni imekuwa na tatizo la kukatika kwa ring na baadae kugonga engine nimesha badilisha block mara mbili naomba...
Habarini wana jamvi. Nimekua nikivutiwa sana na gari hii nissan dualis ningependa kupata uzoefu kwa wataalam kuhusu uwezo wake na ubora kwa ujumla. Na kwa mwenye nayo anaionaje kwenye nyanja ya...
Napenda nipate ushauri kuusu hiki chombo mana wengi wanakisifia sana lakini sioni matumizi.Pia upatikanaji utunzaji na spea nijue ili nifanyeje maamuzi bila kujutia
Mana naipenda sana lakini sifa...
Kwa wale Car Enthusiasts najua mmewahi kuona magari ya kiutofauti/Special hapa nchini. Inaweza kua sports cars, muscle cars, highly customized cars etc. Namaanisha yale ambayo tumeyaona sana...
Msaada wenu wakuu gari yangu wiki iliyopita nimepeleka garage kuifanyia service. Service nilizofanya ni pamoja na kumwaga na kubadili oil na kubadili hydraulic na nyingine ndogondogo kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.