Habari wana jamvi naomba msaada wenu kwa wale wanaojua Nina gari yangu Toyota Ipsum 2002 nikikanyaga kwa nguvu mafuta ili nikimbie baada ya muda sitakuta maji kwenye horse inayotoka kwenye mdomo...
Naomba msaada wa kiufundi, Gari langu linatoa moshi japo kidogo, pia linatumia fuel 8 km kwa lita, SPECIFICATION Spacio old model Petrol fuel SHIDA YA GARI INAKULA MAFUTA SANA INATOA MOSHI MSAADA...
Habari wakuu!
Gari Rav4 1996 engine model 3S-GE ina tatizo la kuongeza kasi (acceleration), inaanza vizuri kutoka 0-50, baada ya hapo inajivuta sana kwenda 60,70 na 80. kupata spidi 100 inakuwa ni...
Habari wadau,
Hii thread sijajua nieke jukwaa lipi.....
Anyways, nilinunua fog lights kwa ajili ya gari yangu, hizi fog lights ni Zina LED Bulbs kisha zina round ring (angel eyes) ambayo pia ni...
Naam
Kama title inavyojieleza hapo juu...
Actualy ni swali, At list ningependa kujua kutoka kwenu gari ndogo zenye 1790Cc -1500Cc ambazo mtu anaweza kutoboa safari za Dar-Arusha ama Dar-Mbeya au...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, je ni vitu gani unapaswa kuvizingatia kwenye gari before hujakabidhiwa?? Gari uliyoagiza nje?
Kwenye injini? Mana wengine wanasema kuna kitu kinaitwa thermal...
Wadau Kuna hizi Models mbili zinazotumiwa na TRA kukokotoa gharana za kodi
IST-NCP 60/61/65 HATCHBACK
IST-NCP/ZSP 11 HATCHBACK
Pia naomba ushauri Ni model gani nzuri,preference yangu Ni NEW...
Habari wadau,gari yangu imepata ajali na imepasuka kioo cha nyuma,mbele na vya pembeni,msaada wapi naweza pata vioo tajwa original?
Gari ni suzuki grand escudo.
Wandugu zangu,
Katika ujenzi wa taifa, nataka kuagiza hii gari, naombeni kujua ubora wake na matatizo yake niandae kiasi gani mpka kuwanayo barabarani.
Wakuu naomba msaada gari lina miss kila asubuhi au kila nikilizima Kwa mdaa mrefu tuseme kama masaa nane ukija kuwasha linakuwa na Miss kubwa tuu hadi linatingishika na kukuwashia taa ya check...
Hakika hii imenistua kidogo au ni ushamba wangu?. Jamaa yangu alikuwa na gari 'chakavu' namba A sasa sijui kafanyaje kaende TRA eti kafanya mbinu na kubadilishiwa na kupewa namba D kisha amelipiga...
Habari wadau!
Jamani naomba wazoefu wa tatizo la gari automatic kujilock steering ghafla mniambia chanzo huwa ni nini? Na bahati mbaya ikishajilock mbele haiendi, gia haisogei, yaani inakakamaa...
Nimeona gari nyingi zinazotumia turbo pamoja na pump ya umeme ndio zinakuja na control box!je ukiweka pump ya kawaida na kisha kutoa control box je gari itafanya kazi vizuri bila matatizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.