Nataka kununua gari ka kutembelea,Toyota RAV 4 L (5 Doors).
Vipi kuhusu changamoto zake,maana kuna mtu amenitonya kuwa RAV 4 L haziwezi safari za muda mrefu e.g[Dar to Mtwara or Dar to Iringa.]...
Wadau mimi ni muuzaji wa hivi vitu kwa rejareja lakini changamoto niliyonayo ni upatikanaji wake hasa kwa bei za jumla kwani wengi wanaojiita wholesalers ni middleman tuu,
Tafadhali anayewajua...
habari zenu wakuu
hivi gari lazima iwe na carburetor ? nilijikuta katika mabishano makubwa baada ya watu niliokua nao kusema ni lazima et ata vogue lina carburetor tena mbil , me navyjua gari...
Salaam wapendwa.
Tafadhali naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu.. JF Garage, ni gari ipi bora kwa mazingira ya hapa Tanzania hususan barabara kati ya ist na ractis. Jibu lako liwe na sababu...
NOmbeni kujua juu ya aina hizi za volkswagen
Volkswagen polo mwaka 2002 na volkswagen golf mwaka 2001 juu ya mambo yafuatayo
.ulaji wa mafuta(1l/km
.upatikanaji wa vipuli
.uimara kwa barabara zetu...
Habari ndugu zangu,
Ninamshukuru Mungu kwa namna ya pekee kuungana na familia hii kubwa iliyo jaa watu makini. Naomba nami nitumie nafasi hii kuomba ushauri. Nina kiasi cha 9M na nahitaji kuagiza...
Wakubwa nahitaji gari, naomba mnishauri aina ya gari inayonifaa. Budget yangu ni mil12. Sifa ya gari niwe naweza kusafiri nayo kutoka Mwanza- Arusha angalau mara mbili kwa mwaka (iwe na uwezo...
Habari wapendwa.
Samahani naombeni msaada tafadhali, naitaji kununua gari ndogo ambayo inatumia mafuta ya diesel, katika pita pita zangu kuna mtu kanambia kuwa kuna hizi beetle new model...
Habari ya muda huu wakuu, kama ilivyo apo juu kichwa cha habari kinajieleza. naomba msaada wakufahamu chuo kizuri cha kujifunza udereva hapa mwanza kikiwa na ada mzuri pia, then nifahamu mara...
Wakuu habari.
Nimejaribu ku search Topic kama hii sijaipata, ila kama ipo Mods mtaiunganisha.
Mfano mtu akitaka kuagiza gari isio ya kijapan, kama BMW Benz VW Range etc, itakua ni vizuri kuagizia...
Wandugu, kama uzi wangu unavyojieleza..Nina kiasi cha Tsh 12 milioni (Bei ya kununulia, kodi ya serikali na gharama zote ziwe ndani ya hiyo Tsh 12m), na ninataka kuagiza gari la kutembelea kutoka...
Ndugu wana JF Natumaini mpo bukheri wa afya njema. Tafadhari naomba msaada wa kufahamishwa ubora wa Toyota ISIS hasa uimara,upatikanaji wa vipuri, ulaji wa mafuta na kadhalika.Nimatumaini yangu...
Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini...
HAbari wana JF,
Kuna hii ofisi mpya cha kutengeneza magari ya aina mbalimbali kinaitwa auto express kipo karibu na njia ya kuingilia vingunguti barabara ya Julius K. Nyerere,kuna anayefahamu...
Wakuu mm nina pesa zangu za Madafu kama ML 4 hivi natafuta gari ambayo inauwezo wa kutembea umbali mrefu.
Sina uzoefu na magari.
NB. Hataikifika ML 5 sawa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.