Rejea kichwa cha habari.
Nahitaji kununua suzuki escudo,hizo models hapo juu zimenichanganya,naomba kujuzwa umadhubuti na matumizi ya mafuta baina models tajwa.
Habari.kama kichwa cha habari kinacho jieleza naombeni mwenye uzoefu na aina hii ukizingatia ulaji mafuta, upatikanaji wa spea na uwimara wa gari.
;
Kama kitgg
G
wakuu kuna hizi gari zenye rotary engine.zinaonekana kama ni ngeni sana ingawa ni engine ambazo zipo mda mrefu sana lkn kwetu hapa naona now watu ndio wanazinunua nunua.ili tusidindokee kule kule...
Wadau habari zenu. Nafikiria kwenda Dubai kwa ajili ya kununua gari siyo mpya bali used. Please kwa wazoefu wa dubai tafadhali naomba uzoefu wenu hapa.Nataka HummerH2'
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...
kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?
Nataka kuagiza gari aina ya Kluger V, najua hapa JF kuna watu wengi wamewai kugiza magari nnje ya nchi.
Napenda kujua kampuni gani mzuri zaid kuagiza gari, kwenye swala zima la usalama na kuwai...
Kwa Tz je kuna tofauti ya mafuta petrol ya premium na unleaded?
Nchi za ulaya kuna zile pipe za blue na red, na bei ni tofauti kati ya petrol red vs blue. Lkn tz bei ni moja tuuu kwa petrol...
Wana jamvi ninakigari changu toyota passo piston 3 kimeanza tabia ambayo inanitisha kabisa,kwanza engine inakuwa kama ina.misa hivi nikiganyaga mafuta na pia kwenye mlima kinakosa nguvu na kina...
Tunaomba ushauri ipi unadhani ina unafuu ktk unywaji wa mafuta,upatikanaji wa spare part kwa Tanzania na ipi inafaa kwa off road? mzee kastahafu inabidi apate moja ya gari hizi
1. Honda HR-V...
Ndugu JF wenzangu leo katika pita website za usedcars Japan nimeona gari aina HONDA HR-V SUV drive 4WD engine cc1600 bei yake 2500 dollas. Ninavyojua mimi gari hizi bei yake huwa juu sana lakini...
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat...
Salaam wakuu. Nina options za kuchukua mojawapo ya gari tajwa hapo juu au SUBARU FORESTER baada ya kusumbuana sana na mama watoto kwani tuna gari moja ambayo ndo naitumia kwa shughuli zangu za...
Kama title inavyojielezea hapo juu, kutoka na ongezeko la magari ya kila aina kila itwapo leo!..
Imefikia mahala kwa watu makini kabla ya kufikia uamuzi wa kuagiza gari tufanye tathmini ya kina...
Wanabodi naipenda sana hii gari niliendesha ya rafiki yangu inatambaa kama ndege halafu ni comfortable naomba mwenye uzoefu nayo kama service na spare party kabla sijatumbukia
Sabakher; Jaman Kwa Bajet Hiyo Ya 8M Naweza Pata Gar Gan Kwa Movement Za Hapa Na Pale!! Ningeomba Kupata Sifa Za PASSO! IST! CAMRY! VITS! RAUM! Kwa Bajet Yangu Naweza Kupata Lipi? Vp Unywaji Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.