JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Watalaamu wa Magari naomba ushauri wenu wa kitalaamu Juu ya masuala ya Magari kati ya hayo Mawili toka injini mafuta vipuri Na uimara wake .
0 Reactions
50 Replies
21K Views
TAHADHARI! Kama unaendesha Gari mida ya Usiku, na ghafla ukaona Mayai (Eggs) yamerushwa na kupiga kwenye KiOO cha Gari yako cha mbele, tafadhari sana USISIMAME, Usiwashe WIPER na wala usimwage...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wadau kila,nikiangalia hizi gari naona zina ufanano wa kiasi kikubwa, utofauti upo mdogo kwenye show ya mbele na dash board Tu, je Ni nini hasa tofauti ya hizi gari mbili? Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wana jamii nauliza tu... Nina tatizo na KM/H kwenye vyombo vyetu vye usafiri,Naomba waandisi mnisaidie Mfano pikipiki ikiwa 80km/h na Landcruser V8 ikawa on the same speed, Je wanafika ponti B...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
UFANYE NINI TAIRI LIKIBASTI? Kuna hatua sita za kufuata ndani ya dakika mbili tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata. 1. USIHAMAKI, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau habari, Naomba kujuzwa kati ya gari hizi mbili ipi itanifaa kwa matumizi yangu ya kwaida. Kwenda shambani ( nyia sio nzuri sana) na kwenda kazini. Hasa vigezo, upatikanaji wa spare...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Nimenunua gari aina ya Nissan Terrano, naomba kujua kwa mtu anayefahamu garage au service center yenye mafundi wazuri kwa magari ya Nissan. Mafundi wengi wako vizuri kwa Toyota, ila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naona sana nchi za ulaya gari inafumuliwa ikitoka hapo nzuri balaa mpaka dashboard,bumper,viti,je gereji ipi Tanzania inafanya haya mambo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
a Mercedes-Benz Actros transporting a massive Caterpillar 797 MAAJABU KWELI
3 Reactions
42 Replies
15K Views
Toyota kutambulisha gari lilotengenezwa kwa mbao na teknolojia ya kiutamaduni ya nchini Japan isiyohusisha utumiaji wa misumari wala nati katika kuzishikilia mbao hizo. Teknolojia hii imetokea...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mercedes-Maybach S600
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Ndugu mpo poa wenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu naomba anisaidie kuhusu changamoto zake au ubora wake pia upatikanaji wa spare zake?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji spare za pikipiki TVs Hlx tuwasiliane kwa no 0752842099
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Pikipiki hutegemewa sana kwa uchukuzi Burundi. Burundi imepiga marufuku pikipiki kuingia katikati mwa mji mkuu Bujumbura katika juhudi za kujaribu kupunguza mashambulio. Pikipiki hutumiwa sana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimkabidhi funguo wa bajaji Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu Salaam,yoyote mwenye uelewa juu ya gari za kampuni ya Honda hasa hizi SUV kwa matumizi ya barabara zetu za Tanzania/Off Roads,durability yake,upatikanaji wa spare parts zake,services yake na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu wadau naomba mnipe uzoefu wa hivi vyombo kipi ninunue kati ya nilivyovitaja hapo juu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwenye soko la dunia, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa zaidi ya 40% kati ya July na December 2015 (fuatilia hapa http://moneyweek.com/prices-news-charts/oil/). kwa maana hii, bei ya rejareja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa kawaida jukwaa hili hutoa msaada. Leo naombeni mnisaidie mtaa au duka rahisi linalouza baiskeli za watoto kati ya umri wa miaka 3 hadi 12. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom