TRA imesema kuwa mwisho wa usajili wa pikipiki hizo kwa hiari unaelekea ukingoni. Hivyo basi, amewaomba ambao hawajasajili wafanye hivyo mapema ili kuepukana na usumbufu wanaoweza kukumbana nao.
Kampuni ya Yamaha Motors imefichua kwamba inaunda roboti ambayo itaweza kuendesha pikipiki ambazo hutumiwa kwenye mashindano ya pikipiki.
Kampuni hiyo kutoka Japan ilionyesha mfano wa roboti hiyo...
Idadi ya majeruhi wa ajali za pikipiki wanaopelekwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI) imeongezeka hadi kufikia 20 mpaka 26 kwa siku, sawa na asilimia 50 ya majeruhi wote wanaopelekwa...
Get ready for even lower oil prices
August 24 NEW YORK
Futures for a barrel of West Texas Intermediate crude fell below $39 a barrel early Monday -- a level not seen since 2009. Oil closed at...
Wakuu,
Kwenye pita pita zangu, nimebahatika kupata pesa, nikaona sio mbaya na mimi ni ongeze foleni ya magari.
Kimsingi nimeshaanza mawasiliano na watu wa beforward, ila kuna mdau kanitonya...
Habari wanajukwaa
Gari yangu aina ya colora G ina tatizo la kujipandisha Silence na kujishusha, nimejaribu kuwapelekea mafundi zaidi ya watatu lakini bado tatizo linajirudia, tumebadilisha...
Salaam ndugu zangu.
Naomba kuulizia uwezo wa hii gari katika kusafiri masafa ya mbali maana nimevutiwa na ulaji wa mafuta(1.6L ingine size) pia bei yake si mbaya (mfano gari ya mwaka 2000 inauzwa...
Ushauri kuhusu hizi gari ni ipi bora kati ya hizo interms of durability, uimara na fuel consumption nataka nichukue moja kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa mjini na mizunguko yangu ya mikoani..
Hii ndiyo ultimate Machine kudadeki! Hii ngoma sio Mchezo! Wengi wetu tumezoea land cruiser 4*4 sasa hii mashine ni 6*6, yaani matairi yote sita (6) yanafanya kazi na mpaka sasa hivi tangu...
Wapi wanaweza kufanya programming ya funguo ya Nissan X-Trail 2005 na ni bei gani approx? Maana gari imekuja na funguo mmoja sasa naona italeta shida mbeleni.
Ninaongela kufanya programming ya...
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu haya magari tunayoagiza kutoka Japan!
Unakuta gari ya mwaka 2006 imetembea kilomita 134,000 Je, hii ni sawa? Nimeangalia Noah nikakutana na mambo nisiyoyaelewa, kwa...
Wajuzi wa magari naomba muongozo hapo kati ya hizo gari mbili kwa kuzingatia;
A, comfortability
B, long safari
C, Spareparts availability & reasonable price
D, Durability.
Habari!
Kuna gari nimeanza kulitumia nina mwezi sasa (mercdes benz c 220, 1995 model ) shida ipo kwenye reverse transmission.
Nikiwa kwenye muinuko kidogo linagoma kurudi nyuma, ni kama...
Nissan and NASA are aiming to conquer earth and space with their own fleet of self-driving cars.
The two companies have entered a five-year deal that will eventually produce a line of...
Wakuu nimevutiwa sana na hizi gari hasa yenye CC tajwa hapo juu, je ulaji wake wa mafuta ukoje, na upatikanaji wa spea na ukoje? technical problems, if any?
thanks
cc: Zanzibar Spices
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.