Wakuu mimi ni muanga wa hizi gari za kununua mkononi, kutokana na negative experience niliyopitia nimekuwa muoga sana na hizi gari za kununua mikononi!!
Sasa nimejichanga na kufanikiwa kupata...
Naomba mtu mwenye uzoefu na gari hili spacio old model 1580cc,inakula litre 1kwa km 6,nilimpelekea fundi akaniambia plug zipo sawa. Naomba msaada nifanye nn?
Wadau nawasalimuni wote,
Mimi nataka mnisaidie kiushaur katika hili,
Kiukwel kwa mda mrefu nimekuwa nikitaman sana kumilik gar na mapenz yangu makubwa no kutumia gar kati ya marcedez au jeep...
Habari wapendwa .jamani nimekuja uku kucheki wataalamu wanasemaje kulingana na shida niliyonayo. Gari langu linapata heat sana na kuzima yani ukitembea kidogo linapata heat na kuzima. Je tatizo...
Msaada :: Kwanza habari za shughuli ndugu zanguni nataka kusaidiwa izi gari zimekuwa na matatizo mengi ikiwepo ya kuungua Pump. Yaani zinaungua sana ktk Pump
Niko na Nissan double cabin hardboard d22 nilikuwa natafuta oil aina ya total
muhindi ananiambia sio nzuri kwani mwisho ni km 3000 lakini hii ya bp ni mpaka
km 9000 naomba ufafanuzi wakuu lina...
THE TESLA MODEL S may be the safest vehicle ever tested by the feds. So safe, in fact, that according to the automaker, the all-electric sedan broke the testing equipment at an independent...
wakati flan nachananya nose cut na half cut. ila hapa nataka kuzungumzia ile sehemu nzima ya gari kuanzia kwenye mlango wa dereva mpaka mbele kabisa.iwe imekamilika kila kitu. inahitajika...
Kuna hii tabia ya wenye pikipiki hasa boda boda kupakia mizigo mirefu ambayo inachomoza pande zote, kwa mfano mbao, bati, nondo n.k.
Hii ni hatari sana kwa watembea kwa miguu na hata vyombo...
Intro
Tunatengeneza web application kwaajili ya ku track huduma ya tuition katika mkoa wa Arusha, n.k
Tunatumia ASP.NET, Razor, MVC, EntityFramework, jQuery n.k
Database Design
Database hii...
Wakuu kuna hizi gar mbili
Premio 2005 odo 55000km tsh 13 no
Na rav4 2003 103000km tsh 15
Tofauti ya bei ni 2mil.
Ipi ya kuchukua hapo
Ushauri wenu ni muhim sana hasa wenye uzoefu na hizo gar...
Wadau msaada wenu hapa unahitajika
Ni hivi...huwa najiuliza kuhusu umbali gari uliosafiri (km) unahusiana vipi na uimara wake?
Je ni lazima gari iliyosafiri umbali mrefu kuwa sio imara ama...
Habari Wakuu,
Nina jamaa yangu anahitaji gari, bajeti yake ni Mil 15, na anapenda sana sana RAV 4 Je anaweza kupata wapi? kuagiza au showroom za ukweli wapi?
Au mbadala wa hiyo Gari kwa bajeti...
wakuu habari zenu,
nataka kuagiza suzuki carry kadhaa kwa ajili ya biashara, sasa kwa kuwa mm sina uzoefu na aina hizi za magari naomba mtu anipe kidogo elimu kwenye aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.