Kila siku nayaona barabarani, kwa kweli yanavutia sana. Je kwa aliyekwisha panda mabasi hao vipi kuhusu ubora na comfortability yake. Nimeona matajiri mbalimbali wameanza kuyanunua kwa kasi sana.
Habari wanajamvi
Leo naomba nifahamishwe kuhusu hiki chuma cha JEKI ambacho kinanyanyua gari ambalo haliendani na umbo la kifaa hiki. Hivi chuma cha JEKI kimetengenezwa na material gani maana...
Salaam wakuu.
Naomba kwa anayejua taratibu na sheria za kutumia gari lenye namba za kigeni (za Afrika kusini au za Msumbiji au Kenya) kwa Tanzania tafadhali. Mfano nataka kutumia kwa muda wa...
Kama title inavyojieleza hapo juu,, naomba ushaur kabla ndugu yangu hajafanya maamuzi juu ya aina hiyo ya gari na hizo specification zake hasa kwenye upande wa ulaji wa mafuta.
Option za huyu...
Hamjambo ndugu. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu nimevutiwa na aina ya gari kampuni ya Ford ambapo huku ina uzwa doller $10,000 sawa na R150,000.
Nia yangu ni kufahamu gharama (ushuru)...
Waungawana habari zenu!!
Nataomba ushauri au mwongozo ni wapi nitapata Defeneder 110/ LandCruiser HZJ79, single cabin. Iwe inatembea au iko juu ya mawe cha msingi body iwe kwenye hali nzuri...
Salaam wakuu.
Nina mpango wa kununua Toyota HiAce kwaajili ya kufanya kazi kama daladala. Kuna kitu nimeshindwa kuelewa kama nichague yenye engine ya 2000 au 3000. Pia kuna option ya manual au...
Wakati tunakua,kulikuwa na uvumi kwamba magari aina ya RANGE ROVER ndio yalikuwa magari yenye kasi kuliko yote kwa wakati huo kiasi kwamba yalikuwa hayaruhusiwi kupaki karibu na benki,je uvumi huu...
Naomba kwa mwenye uzoefu atupe ushauri sie wateja wapya wa Bima za magari.
Nimeagiza gari Toyota Noah - 2007, gharama zake mpaka kuitoa ni TZS 12M. Je Bima kwa maana ya comprehensive au Third...
Wanajamvi Habarini za Mida,Nilipotezaga password yangu ya JF,sasa nimeipata am back.
Nina shida moja tu:
Nataka kufungua Garage ya magari au (car service centre ya kisasa).Ila bado sina uelewa...
Habari za mida hii watalaam, mimi nimtumiaji wa magari gari yangu ya sasa ni Nadia engine 3s. Nina mpango wa kununua gari ambayo ina shape nzuri but cheap in price. Katika pitia mitandaoni...
Linapiga kelele sana, yaani kuanzia gia ya kwanza,
siku ukiendesha hutakaa utake lingine. Ila utafurahi zaidi ukiliendesha kijijini kule hakuna msongamano mkubwa wa watu na nyumba zipo mbalimbali...
Wasalaam wanabodi.
Nimejichanga na napenda kununua gari la juu kidogo maana huku ninakokaa gari langu la chini kila siku naacha bamba kwenye makorongo.
Sina uzoefu na hizi gari, Prado ya 1998 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.