Kuna watu wananikera sana barabarani kwa matendo na maneno yao. Na hao ni kama ifuatavyo
1. Askari wa Usalama barabarani(baadhi)
2. Waendesha bodaboda
3. Madereva wa daladala
4.
5.
6...
Habari.
Kwa mwenye kumiliki gari LDV CONVOY, ama mwenye kuuza vifaa, ama mwenye kuhitaji gari hizi, anakaribishwa hapa, lengo ni kujuana na kusaidiana baadhi ya mambo fulani kuhusu gari hizi...
Habari, jamani naombeni msaada kwa anaejua gari la toyota corolla fielder 1500cc in terms of spare parts(gharama), ubovu na uimara wake na je inauwezo wa kwenda mkoa na kurudi ikiwa vizuri? pia...
Hi JF,
Na imani mmepumzika majumbani kwenu baada ya kutoka church (wakristu) mkimalizia weekend yenu. Kutokana na uzoefu na elimu nzuri itolewayo bure hapa JF na wanaJF waungwana, ningependa...
Gari yangu ni gx100 cresta cc2000 tatizo la hii gari ni nguvu,
Kupanda milima aina nguvu kabisa na niliipeleka service na fundi akaikagua engine na kuniambia hii gari ili iwe sawa inabidi...
Habari wadau,
Nimetokea kuipenda hii gari TOYOTA COROLLA SPACIO X LIMITED SPECIAL PACKAGE 4WD ingawa ni model ya zaman kidogo lakini kibongobongo nazani litanifaa na nadhani spare zake...
Wadau nina nissan caravan 3D inashida ya ile puller inayokaa kwenye kompresa kuvuta fen belt ya njia sita kama kuna mtu ana kompresa iliyokufa anipatie hyo pull ntafurahi sana nisiingie garama...
Wataalamu karibuni mniondolee tatizo.Namilki kiharrier changu ila kinanikwazwa niwapo safarini.Nikiapply ac ktk kipindi baada ya nusu saa hv taa ya low oil pressure inajitokeza dashboard.Nikiizima...
Habarini wanajamvi,
Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini. Ila si mgeni ni mfuatiliaji mzuri wa Jf, nisiwachoshe na blaablaa.
Mimi nina ndoto za kumiliki Fuso dump truck na nina...
hii Gari nzuri na ngumu sana ipo rand 250,000 used
Mengi ni toleo kuanzia 2010 mpaka 2016
ni very strong na pia Confortable sana yananunulika sana SA...
Habari zenu wana jamvi naomba nieleweshwe kuhusu gari hilo toyota NOAH kwene mambo yafuatayo maana mungu kashusha neema
1)ulaji wake wa mafuta lita 1=KM?
2)inauwezo wa kusafiri umbali mrefu mfano...
Wakuu,
Natarajia kwenda Congo kwa usafiri wa pikipiki na baadae kurudi tena Dar, je ni pikipiki gani ina uwezo wa kutembea spidi na kuhimili changamoto zote za njiani mpaka Congo?
Wataalam wa...
Wakuu heshima kwenu, samahani naomba kujulishwa garage nzuri mbeya mjini yenye mafundi wajuzi (competent) wa magari madogo ya petrol, garage ni nyingi hapa mjini but wapi hasa kuna mafundi wazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.