JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nina jeep cherokee grand limited ya mwaka 1996,fuel consuption yake kidogo hainipi matumain,kuna fundi akaniambia ni kwakua haina return ya mafuta (wataalam mnanielewa) ivo mafuta yakienda...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Don’t you just hate it when your car’s fuel gauge starts warning? Have you ever seen motorists running around with a Jerrycan to the gas station to buy more fuel? Don’t wait until your car stops...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi ndugu zangu? Inazimika engine ikipata joto, na haiwaki tena hadi engine ipoe! Tafadhali naomba msaada!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Gari yangu imekuwa ina act kiajabu kidogo. Inamiss ikiwa umepark au ipo katika neutral, na hii hutokea either ikiwa imekaa silence kwa mda kidogo japo dakika 5 ivi ndo inaanza hii...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
habarini wana jamii. Nina jamaa yangu ana taka sana kununua Gari Toyota Altezza 6 Cyl engine CC 1,990. Huyu Jamaa anaishi Tabata Segerea anafanya kazi Posta. waswas wake upo kwenye matumizi ya...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari zenu? Alternator Stator windings ni STAR & DELTA... JE, KWA NINI DELTA na siyo STAR au kinyume chake? Naomba msaada, nmeulizwa swali hilo!
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Habari za Asubuhi ndugu zangu? Nini tatizo, Startor motor inakosa nguvu ya kuzungusha flywheel (No load test). Ina speed ndogo sana isivyo kawaida! Tafadhali saidia hili!
0 Reactions
0 Replies
920 Views
HIzi gari zinakuja na lugha ya kijapani zina changanya
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mwenye uzoefu na hii gari please Audi A4 hatchback, kwa hapa Tz ...Ahsante wadau
0 Reactions
67 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Nimeamua kutumia mfano wa IST na RAUM katika hili swali langu ambalo kimsingi linajikita katika maswala ya Engine capacity na Vehicle weight. Swali. Je kuna utofauti wowote wa...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Wale wenzangu wenye hela za.mawazo kutokana na ngazi za juu kubana na bado unataka SHOW OFF ya SUV kimbilio ni Mitsubishi Outlander kwa 500 USD unaagiza gari toka Japan. Fuel consumption: 1ltr =...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Wakuu salama, kuna gari aina ya mazda tribute, inazingua kuwaka kwa muda sasa fundi anasema inekufa ignation coil . Amejaribu kibadilisha lakini bado. Msaada wadau
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za muda wapendwa! Nasikia kuna apps ambazo zinaweza kutumika ku-detect mahali ambapo kuna tochi za wale kunguru weupe wamejificha. Wakati unaendesha gari lako kupitia simu yako, inakupa...
7 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF Najua humu nitapata jibu kamili.... Mimi napenda Sana Nissan X trial ila naambiwa kwamba Zina matatizo mfumo wa umeme, kuna wengine wanadai kuna mpya ambazo hilo tatizo...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari wakuu nina mark ii grand gx100 ni msumari sana na ndo gari ninayotegemea ila wakati wa asubuhi inasumbua sana kuwaka waeza piga hata mara kumi yaani hadi kero.i la ikishaawaka siku nzima...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu? Kwa mwenye kujua mitandao yenye kuaminika kununua vifaa vya magari online hasa vile vya kupamba magari, please naomba ashee na sisi, ili tupate kuongeza uzoefu zaidi...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu.Nataka kununua hii gari toyota fielder, je kwa wanaofahamu sasa hivi bei zake ikoje? Vipi walau utapata kwa nafuu ukinunua hapa hapa au ukiagiza? Lakini je kwa hapahapa Yadi ipi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamii forums! Naomba mnisaidie ni vitu gani vya kukagua mtu anaponunua njini ya gari ambayo ni mtumba/used. Vilevile ni vitu gani vya kuzingatia. Nahitaji msaada huu maana nitanunua...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Hello JF .Nina Landcruaser Prado TX diesel engine 3000cc nilikuwa nataka kuibadilisha na Landcruaser hardtop. Kama kuna mtu anaye naomba tuwasiliane please .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The problem of car battery corrosion arises when your car sits in the garage idly for months. Corrosion can form in and on the battery’s terminals and around the battery cable ends, and the...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom