Habari wadau,
Ninaombba msaada katika hili,
Nimepata gari Afrika Kusini nataka nilinunue na kulisafirisha mwenyewe kwa kupitia barabara kwa kukatiza nchi jirani mpka kufika Tanzania, nachohitaji...
Wakuu salaam Naomba ushauri kuhusu hili gari binafsi nimelipenda na kwa sasa niko huku mikoani barabara sio nzuri sana na naona ina Ground clearance# Subaru Outback nachotaka kujua ni reliability
.wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman...
Land Rover Discovery ni gari ambayo nzuri sana kwa ndani na bei yake si kubwa sana. Tatizo kubwa ni kwamba engine yake mara nyingi huwa ni za petroli na ni engine kubwa ambazo gharama za mafuta...
Wadau,
Nimepita mahali nikaona wanafanya hii shughuli ya kuzirudisha upya vipuri vya magari.
Vipi kuhusu uimara wa gari na usalama wa mtumiaji baada ya kufanya hivi?
Wazoefu naomba mnijuze tafadhali
Unaweza ukawa wewe ni mmoja kati
ya watu waliofuta meseji zao za
muhimu kwa bahati mbaya. Ndio hii
inatokea kwa wengi, kikubwa watu
wanachofanyaga ni kujilaumu
wenyewe. Lakini vipi kama
kungekuwa...
Wakuu habari.
Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007.
Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi...
Habari wakuu.
Nina gari yangu inaufunguo usio na remote sasa nahitaji kutengeneza au kufanya makeke ili nikitaka kufungua milango nabonyeza tu.
Sasa je inawezekana?
Ni pikipiki ambayo naipenda mwonekano wake na pia utumiaji wa mafuta mdogo na hvyo kuwa chaguo la wengi wenye hali ya chini.
Kuna mdau mmoja kanitonya lita moja inaweza maliza km 55!
Kwa anejua msaada tafadhali, je kile kifaa wanachotumia kupima mwendo wa gari je kina uwezo wa kupima mwendo wa gar kwa nyuma nimekutana na hiyo case traffic wamepiga picha gari kwa nyuma then...
Hii si mara ya kwanza naona hili, tukio ni zaidi ya mara tano kwa gari kutema cheche za moto kwenye lile bomba la kutolea moshi nje (exousite) yaani cheche kama zile za mashine ya welding wakati...
Habari zenu wadau nimenunua gari nataka kuisafirisha kupitia scania sitaki kuendesha inatoka dar kwenda Mwanza Ina gharimu shilling ngapi kwaajili ya usafirishaj
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.