Habari za leo wajameni. Hivi kuna njia ya kujua mmiliki wa gari fulani kwa kutumia namba ya gari ? Najua nchi zingine unaweza kufanya hivyo online. Huku kwetu vipi ?
Hi guys, aneifahamu vizuri hii gari naomba msaada Wa range za bei na upatikanaji wake Tz. Bei kuanzia used Tz iliyo katika Hali nzuri, na kama Kuna uwezekano Wa kupata used nje, Pia bei ya mpya...
Habari zenu ndugu zangu..natumaini wote ni wazima. Nilikua nataka kujua original price za scooter na honda (pikipiki flani hvi ndogo ambzo mara nyingi wahindi wa posta na wa kariakoo wanapnda sana...
Wadau msaada kdogo..
Camera ya simu yangu inaingia uchafu, ( kuna km vimichanga vdogo vdogo vinaonekana ndani ya camera) sijui vinaingilia wapi mara kwa mara hivyo inapelejea kuona kam mawingu...
Habari mafundi,naamini kweye hili group tuna mafundi wa kutosha.
Nina gari langu Suzuki swift inasumbua sana,linachemsha mara kwa mara.
Hii imetokea baada ya kufungua machime na kubadili ring.
Kwa...
Najua gari nyingi zinakuja zikiwa ndivyo zilivyo, ila je wataalam wetu mambo ya sound na urembo wa magari wanaiweza kitu hii au ni mambo ya majuu?Nawasilisha.
Habari wana jamvi, naulizia wanajamvi nimeingia mtandaoni pale be foward nimeona magari hadi dola 700 na chini ya hapo kweli ndio bei zake na vipi inaweza kukugharimu ngapi hadi zikanyage ardhi ya...
Za lelu valongo vangu....umuofia kwenu....namnani.....namakise.....shimbonyi.....na wengine nimewasalimia kwa lugha zenu...wakuu kuna mdau anataka kuvuta ndinga moja kati ya hizo sasa ameniomba...
Habarini wanajamvi!
Naomba msaada wenu kwa alama hizo kwenye viambatanishi kwani zimeanza kuonekana hivi karibuni kwenye gari yangu.
Na baada ya maana yake nini cha kufanya kukabiliana na na...
Umuhofia kwenuuu!, Wakuu nimepata vijisenti vya korosho nataka ninunue hiyo gari Toyota Noah field tourer naamini kwa maeneo yetu itafaa. Kama nakosea munisahihishe. Nawasilisha madongo na...
Hili dude nilibahatika kuona makala yake KBC wakilielezea lakini kwa bahati mbaya sikuambulia kitu...
Ktk kipindi cha IGNITION pale KBC walilimwagia sifa kem-kem hadi nikastaajabu...
Nimeona...
Wakuu naomba ushauri juu ya gari zuri la familia linaloweza milikiwa na mtu wa kipato cha chini. Liwe na uwezo wa kubeba watu 5. Gharama yake isizidi milioni 14. Picha zitasaidia zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.