Poleni na kazi,
Nina gari dogo linatumia petrol kuwaka linawaka vizuri shida yake baada ya kwenda umbari kama km 5 linazima ghafla na kuwaka ukiwa unaendelea na safari hivyo hufanya kama...
Habari wanajamiiforums,
Nataka kununua toyota nadia yenye engine ya 3S mwenye uzoefu nayo naomba anipe
-Mazuri yake
-Mabaya yake
Natanguliza shukrani za dhati kwa wote watakaonisaidia!
Salamu kwenu wadau wa kupendezesha magari yenu upande wa matyres/mguu/kiatu/Rims.
Uzi huu nakaribisha wenye uelewa na dondoo mbali mbali za aina za Rims kwny magari kuanzia size(upana na duara)...
Wakuu VP,
Kuna gari jamaa anataka kununua, ni mitsubishi pajero, vipi ni yapi matatizo yake, je vipuri vipo, gharama za uufundi, uimara WA gari, na mafuta. Ushauri wenu WA haraka unahitajika
Dar es Salaam. Wako wanaofikiria kupumzisha magari yao kutokana na mzigo mkubwa wa gharama za kuyatumia, na hasa bei ya mafuta ambayo inaendelea kupanda, huku kipato kikiendelea kudumaa.
Baadhi...
Kuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana.
Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
Hbr za leo wanaJF
Naomba mda wenu kidogo ili niwaeleze mambo mawili matatu hivi kuhusu hivi vyombo vya moto/machine/mitambo n.k. hulsusan matengenezo, marekebisho na matunzo.
Vifaa hivi ni muhimu...
Wakuu nahtaji gearbox automatic ya passo ni wapi hapa Dar taweza kupata na gharama zake huwa ni kiasi gani,na vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati wa ununuzi! Passo yangu ni ile cc 990
Nawasalimu.
Nina biashara yangu ya duka hapa dar es salaam na Handeni Tanga, huwa bidhaa zangu nanunulia maduka mbali mbali kitumbini na kariakoo.
Nafikiria kununua gari itakayosaidia wakati wa...
Kampuni ya Japan yasainifu tairi lisilohitaji kuingizwa upepo.
Kampuni ya mpira ya Toyo ya Japan imesanifu tairi lisilohitaji kuingizwa upepo, na imepata mafanikio katika kuongeza maisha na...
Zinahitajika Toyota Allion, Porte,Sienta. Bei isizidi Mil 6 namba iwe C haijawah pata Ajali wala kupakwa rangi. isiwe imewah kufunguliwa engine kwa jambo lolote. mdogo wangu amemaliza shule...
Habari wana Jukwaa,
Natafuta fundi mzuri wa gari tajwa hapo juu. Ni gari la kazi, Mwanzoni liliua mechanical fuel pump tukawa tunatumia ya umeme. Nikanunua mechanical pump nyingine lakini ikafa...
Habarini wanaJF
Katika pitapita zangu hapa mjini nimekuwa nikiona magari mengi watu wanayomiki ni toyota hata nikiwa ndani ya daladala kwenye foleni huwa naona magari mengi kwenye foleni ni...
Mimi nilikutana na hii:-
clutch kutumbuka au kunasia yaani ukikanyaga clutch hairudi juu inabaki chini hivyo huwezi kubadili gear hii ilintokea nikiwa katika foleni maeneo ya gongo la mboto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.