Wakuu poleni na shughuli..
Naomba kuukiza swali kuhusu hizi taa za magari wanaziita projector system with Angel eyes.. Kwa ambao wameziweka kwa magari yao haoa Tanzania.. Je zina mwanga mkali...
nimeleta huu uzi ili uweze kutatua matatizo madogo madogo ambayo unaweza kuyatatua kwenye gari yako pindi linapo leta hitilafu upande wa umeme na kuwasha taa za tahadhari kama taa ya CHECK ENGINE...
Habarini wadau,
Nilikuwa naomba msaada wenu wa kimawazo nina gari aina ya Gaia inayotumia engine ya 3S sasa hii gari inakula mafuta sio kawaida, tumejaribu kuweka lita moja ya mafuta ikatembea...
Habari wana jamii wenzangu naomba kufahamishwa juu ya usafi wa nozeli za gari yangu (rav4 kili tyme) maana inakula mafuta sana na nilienda kwa fundi akaniambia nozeli za kusafisha nikamuuliza una...
Wakuu rodi license na bima ya gari vinaelekea kuisha siku si nyingi zijazo.gari si biashara.
Hivi ni kweli saivi nitatakiwa kukata bima tu? na wala sihitaji tena kuwa na rodi license? mbona naona...
Wakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Ndugu wana jf gari yangu aina ya Toyota mremio imegoma kupiga honi nimepeleka kwa mafundi lkn bado ngoma iko vilevile haipigi. Kwahiyo nachoomba ni msaada kwa yeyote mwenye kuyafahamu haya mambo...
Jaman kuna mtu anataka kuniuzia suzuki,sasa sijui mapungufu ya Gari hii kwa wajuzi wa magari mnisaidie...
Je yafaaa kwa safari ndefu? Gharama Za service je? Ulaji wa mafuta na spare upoje? Thanks...
Nimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha pia
Sent using Jamii...
Wakuu nimedhamiria kusafiri kutoka DAR kwenda MBEYA kwa kutumia TOYOTA IST, lengo ni kufika MBEYA kabla ya saa saa moja jioni. Naomba kujuzwa vitu vya kuzingatia ili kufanikisha safari hii kama...
Hello wakuu kuna kitu kinanichanganya sana...
Hivi ni nini hasa huwa kinafanya thamani ya gari kuwa kubwa mpaka kufikia mabilioni...mfano buggati cheron mpk bilion 10 na lina kaa watu wawili tu...
WAKUU NIMEWEKA MASAHIHISHO KUTOKA KWA MDAU HAPO CHINI
Kuna aina zaidi ya mbili ya petrol ila common kwa
Tanzania ni unleaded pamoja na Super
1.Super
hii ni aina ya petrol ambayo ni nzito na...
Habari wanajf na wataalamu wa magari, kuna kitu kimoja kinanitatiza sana na kwa utaalaku wangu wote sijui effect yake ni nini.
- Ni nini kitatokea endapo kipande cha mbao au plastic kikaingia...