Ni matumain yangu hamjambo.
Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil.
Nligundua gari haipo sawa maana nikiwa napandisha mpando kulikuwa na...
Habari.
Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme].
Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged?
Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa...
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST
Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.
Naombeni...
Jamani wakuu poleni na majukumu,nina gari yangu Verrosa yenye engine ya 1G VVTI kwa sasa imefika kama Km 200,000 imeanza kutoa moshi na inaonesha dalili za kula oil japo sio sana.
Naombeni kwanza...
Heshima zenu wakuu!
Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko.
Naombeni ushauri...
Habari Za mchana Naomba kwa mwenye uelewa juu ya makampuni ya bima Za magari anifamishe. Nahitaji kampuni ambayo pindi upatapo tatizo siyo wasumbufu kukulipa. Naomba...
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha...
Naondoka asubuhi na gari yangu binafsi Harrier 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza.
Gari ni mpya kilomita 560 from Dar to Moshi niandae lita ngapi.
Natumia AC mwanzo mwisho, driving speed 80 to 120.
Nipo kijijini ndani ndani na ninahitaji kununua gari ambayo haitonisumbua kwa mafuta au gereji ya mara kwa mara.
Nimekuwa natamani gari hizi mbili ila sijiu ni ipi sahihi kwangu ambayo...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi...
Kwa wale mnaopenda kumiliki magari yanayozalishwa kutoka nchi fulani; kupitia huu uzi, utawasaidia kuchagua haina za magari husika:-
Ufaransa
Simca
FV
Bugatti
Renault
Peugeot
Citroen
Alpine...
Naombeni msaada kwa wazoefu kwenye hili, nimeagiza gari japan, imefikia hatua gari imepakiwa kwenye meli, nimejulishwa tarehe ya kuondoka na kufika japo pia hua zinabadilika.
Uhitaji wangu uko...
Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia?
Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo...
Wakuu,
Kumekuwa na tabia ya wamiliki wa magari hasa magari binafsi kutoa mabampa(bumpers) ya mbele au nyuma na kuweka ya chuma wakiamini kwamba ndio gari itakuwa imara na Salama zaidi kama...
Kuna baadhi ya wauzaji au madalali wa Magari wanasema Gari ambayo ni 4Wd sio nzuri kwasababu zifuatazo.
1. Zinakunywa sana Mafuta
2.Utengenezaji wake unakuwa mgumu.
Hapo nazungumzia kwa upande...
Hello!
Habari za usiku wakuu, poleni na hongereni kwa mapambano ya kila siku.
Leo nimekuja kwenye jukwaa hili niombe ushauri ambao unaweza ukanisaidia mimi na watakaokuja huko baadae.
Mimi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.