Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011. Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.
Lakin naitaj gar yenye nguvu, comfortable barabaran ,rough road iwe vzuri...
Habari wakuu, Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
Habari wadau, hizi gari zinaonekana kama sawa hivi, ila naomba elimu zaidi ya google.
Probox ya 2015 vs succed ya 2013 ipi nichukue?
Je ni kweli succed ni probox ilio boreshwa? Kama ni kweli...
Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024.
Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi...
Salaam waungwana mafundi Wa ukweli Na wale makanjanja mnaotengeneza hiki huku mnaaribu kile ili turudi kwenu Mara kwa Mara salaam sana
Jama Nina pikipiki yangu aina ya TVS cc150 cha kushangaza...
Ndugu wana JF kulingana na utafiti wangu mdogo nimeona kuna uhitaji wa uzi wenye kujuzana wapi unaweza pata vitu kama vilivyotajwa hapo juu na vingine vinavyohitajika katika magari au mashine...
Habarini wakuu.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu.
Naongelea Qashqai vs...
Wajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku
Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea...
habari zenu
kifupi nimekutana na msala huu.
Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili.
Katika...
Habari zenu wakuu heri ya mwanzo wa wiki ambayo ndani yake tunatarajia sikukuu. Kama ilivo ada leo ningependa kuzungumzia kitu ambacho kuna debate kubwa sana ndani yake kwa madereva na mafundi wa...
Waungwana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuitambua pikipiki SANLG original anisaidie maana nina mpango wa kujitafutia kausafiri hako japo ka kimaskini.
Nawasilisha.
Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza.
Hebu...
Ukiwa na changamoto yoyote kwenye basi, wasiliana na LATRA 0800110020.
MAGUFULI BUS TERMINAL 0734450010.
Watu wengi au abiria bado hatuna elimu ya kutofautisha haya madaraja ya mabasi licha...
Habari wakuu, Swala la kupenda gari na kutunza ni kipaji ambacho watu wachache wamejaaliwa hii unaikuta kwamba magari ya aina moja yalioagaizwa mwaka mmoja limoja linakua linamuonekano mzuri...
Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno.
Gari yenyewe ni Porsche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.