JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nina Nissan Hardbaody J8 ya mwaka 2009, Ilikuwa na ZD30 engine imekufaa. Nataka kuweka Engine nyingine nimekutana na mafundi tofauti Kila Moja anamapendekezo yake ya engine ya kuweka, Kwa mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SHIP BREAKING/SHIP RECYLING/SHIP DEMOLITION/SHIP CRACKING/SHIP DISMANTLING Hii ni kitendo cha ukataji wa meli kwa ajili ya kutoa vipuri, malighafi za vyuma ambazo zinaweza zikatumika tena au...
8 Reactions
4 Replies
929 Views
Mwenye uzoefu matumizi Nissan XTrail New Model ya Diesel mazuri na changamoto zake nisaidieni
1 Reactions
1 Replies
948 Views
wadau naomba tujuzane bei ya hizi gari nnchini afrika kusini. lengo nikujua kama ziko chini kuleko kwetu tanzania au la. 1.ford ranger 2.mercedes benz 3.toyota hilax na jee ni njia ipi rahisi ya...
4 Reactions
110 Replies
17K Views
Habari za Jumamosi wakuu. Nipo safarini kutoka Dar naelekea mbeya na kesho niunge Border Tunduma katika harakati za uchakarikaji. Nikiwa naandaa safari yangu lilinijia wazo na nikawaza mengi juu...
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari za kazi wakuu poleni kwa mapambano ya Corona....naombeni ushaurini wenu nina gari Mitsubishi pick up L 200 ya mwaka 1995, ugonjwa mkubwa unao Ni sumbua upo kwenye engine maana sijawahi...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wadau habari! Mimi Leo naomba kufahamishwa kazi ya Antenna zinazofungwa kwenye Magari. Mfano ni katika picha hizi [emoji116][emoji116] Naomba tufanye ku share elimu.
2 Reactions
7 Replies
827 Views
Habari wana jamvi , Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu , Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda...
1 Reactions
3 Replies
497 Views
Habari wakuu. Bila shaka nyote ni wazima na mishe mishe zinaendelea kama kawaida. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uagizaji wa magari. Internet imerahisisha sana shughuli za...
2 Reactions
41 Replies
33K Views
Wanajamvi mlio na ustadi wa magari aina ya Toyota Hilux Double Cabin (Automatic), nisaidieni. Extrovert na marafiki wote karibuni.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
643 Views
Za saizi wadau. Hivi hizi hiace commuter zinazo toka japan bila viti ni wapi watu wanatengeneza hivi viti hapa TZ au kuna sehemu za kununua already made kwa ajili ya Hiace commuter?
2 Reactions
1 Replies
421 Views
Wadau. Naomba msaada na ushauri juu ya garage/ fundi mzuri ambae anaweza akanifanyia Body works & Painting kwa Toyota Land Cruiser 70 series. Location awe ni Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
628 Views
Wadau naomba uelewa juu ya hii kodi ya umri (age) kama inavyooneshwa kwenye TRA calculator Reference Number: 22234104475 Make: TOYOTA Model: HARRIER ZSU - 60 / 65 Body Type: SUV Year of...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights) 2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka 3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka...
19 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama kuna mdau hapa,ana taarifa juu ya namna ambavyo mtu anayeanza kazi anaweza kupata mkopo wa gari,bila ya kuwa na pesa taslim,ila awe anakatwa kila mwisho wa mwezi.je afanyeje kupata mkopo wa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika. Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo. Kisha ukiangalia kwenye Total. Hii gari imegharimu shilingi za...
22 Reactions
177 Replies
22K Views
Gari yangu ya mwanzo ist kwa kweli Nilikuwa nawaonea wivu sana mkitamba humu ila Nilikuwa sina la kusema. Nimenunua unyama mwingine wa subaru na leo nlikuwa kwa fundi kufanya marekebisho ya...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented...
38 Reactions
165 Replies
18K Views
Habar wakuu nauliza Kuna kampuni yoyote ya magari rout ya dar Moro gari zake zinaondoka huo muda wa saa kumi usiku
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Back
Top Bottom