Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia
10. Nissan
09. RAM
08. Cadillac
07. Ford
06. Tesla
05. Chevrolet
04. GMS
03. Volks Wagen
02...
Wana Jf ni matumaini yangu nyote humu mu wazima. Ninaomba kufahamishwa kwa wanao ifahamu njia ya ya sinza kijiweni kupita Tandale mpaka kawawa road kuna magari mengi sana ambayo ni kama...
Hello wana jukwaa,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Moja kwa moja kwenye mada, naomba wenye uzoezi na hii gari wanisaidie AUDI Q5
1.Spare parts upatikaji...
Habari za muda wakuu,
Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue
1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission.
Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa...
Habari za majukumu, nina fedha isiyo taslimu shilingi laki tisa(900000 TZS), ambayo itakamilika kufikia mwezi wa 10 mwaka huu. Nimewiwa kununua usafiri wangu ila nimeamua kutumia njia tofauti...
Gari za byd yangwang zinazotengenezwa china mwenye kujua zipoje.je kwa afrika zinafaa maana wanateknolojia ya umeme na smart AI nyingi sana kwenye gari.
Sifa ya injini yake inajitengenezea...
Wife toka last week anataka nimnunulie Toyota Premio ya 2007. Nimeiangalia hii gari engine yake ni 1990 CC, D4.
Kuna kipindi mafundi wengi walikuwa wanaziogopa sana engine za D4. Je, wadau...
✓Gari kukosa nguvu ni kitendo cha gari kushindwa kufanyakazi kazi katika uwezo wake wa kawaida kitaalamu matatizo yanayopelekea gari kukosa nguvu yamegawanywa katika makundi matatu nayo ni...
Salaam kwenu,
Kati ya malengo yangu mwaka huu ni kubadilisha gari, basi nikaingia sokoni kusaka gari mpya nikavutiwa na Toyota Rush ambayo ina 4 wheel drive na pia cc zake sio kubwa ni 1490 ila...
Habari ndugu wana Jamii forum,
Leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatizo.
Naomben...
Brake fluid kuvujia onto brake booster housing... yaani kwenye makutano ya Master Cylinder na Booster panavuja mpaka rangi ya booster housing imemenyeka (booster paint peeling off) coz of such...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.