Hello Great Thinkers,
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania.
Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi...
Hakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara kwamba idadi ya magari yanayonunuliwa na kuingizwa Tanzania inazidi kuongezeka mara dufu siku...
Audi A4 ni line ya compact executive cars ambazo zimekua kwenye uzalishaji tangu 1994 huko German na Audi ambayo ni subsidiary ya Volkswagen Group, Subsidiary yani ni kama CCM na ACT hivi [Jokes]...
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo...
Anayeifahamu kwa kina (consultant) wa hiyo gari kabla sijachukua. Nimedhamiria ya 2010, 7seats na nalipia next week. Nahitaj mshaur mtaalam na mzoef na ikibid nimwone kama yu Dar.
Pia naomba...
Wakuu wa jamvi habari zenu,
Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable...
Habari za asubuhi wadau, nimeona sehemu hii gari "SUZUKI SWIFT" INAUZWA
Naomba kufahamu uimara wake na shida zake hii gari kabla sijafanya maamuzi. Na ambatanisha na Picha.
Natanguliza Shukrani...
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.
Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti...
Hello wakuu, hope mko poa.
Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida.
Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break...
Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena?
Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge.
Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge...
Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa.
Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya...
Habari wadau , Nina gari yenye engine ya 1zz ina tatizo la engine kutetemeka na rough idle sana sana ikiwa silence au slow speed, pia exhaust ina tetemeka mpaka inagusana na body.
Nilienda kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance...
Msaada wenu unahitajika wakuu.pikipiki yangu TVS 125.Mwaka jana iliua cylinder head nikaiweka ndani,wiki iliyopita nilinunua cylinder head mpya nikafunga,Tatizo linalonikabili ni kuwa ukiiwasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.