Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani,
JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
Heshima kwenu wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Ningependa kujua ni kampuni gani nzuri ya kuagiza gari kutoka Japan kati ya SBT na BEFORWARD.?
Vigezo viwe katika maeneo yafuatayo:
(1)...
Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing...
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba...
IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi...
Nina gari aina ya van.
Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13.
Baadhi ya...
Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used.
Hii ni kwa gari ndogo tu.
Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina...
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa...
Ni katika muendelezo ule ule wa Dualis a.k.a sigala na vayolensi za moto, nakuletea nyingine hii ni DXF imelipuka huko iliko lipukia. Ifike mahali hizi gari na kuwaka moto zimalize tofauti zao. Ni...
Wakuu kwema.
Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika.
Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B...
Habari wakuu,
Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.