JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habarini wa kuu nina kigari changu Toyota cami cc1290 wakuu kinakunywa mafuta kama defender nisaidieni wataalam nini cha kubadilisha?
2 Reactions
3 Replies
544 Views
habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda. Sasa kuna jitu lenyewe halijali...
8 Reactions
10 Replies
947 Views
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash. Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10...
2 Reactions
25 Replies
941 Views
Wakuu,amani iwe nanyi. Naombeni ushauri,kuna kasenti nimekanyaka mahali nataka kununua gari lakini sina uzoefu wa hizi gari mbili; Subaru Forester turbo 2004 Vs Nissan Xtrail. Kipindi hiki gari...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari za usiku wataalam Jaman mimi nasema ukweli kwenye magari bado ni mshamba nilijichanga changa nikanunua gari ya kunisadia mishe za hapa na pale ni Toyota IST, gari naweza sema bado ni...
7 Reactions
71 Replies
10K Views
Wakuu habari. Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue. Vipi gharama ya engine...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimefanya Kazi ya uber kwa muda kidogo Nikiwa napewa Day waka na Watu au Marafiki zangu. Sasa nimefanikiwa Kupata kiasi cha pesa nahitaji Gar za mkataba au mikopo Nafuu . Pesa niliyonayo ni...
0 Reactions
5 Replies
432 Views
Ndinga moja matata sana.
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao.. . Wakiwa...
9 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau habarini. Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990. Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290. Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
2 Reactions
8 Replies
601 Views
Kibongo bongo, Toyota hana mpinzani kwa idadi ya magari na "kuaminiwa" na watu. Ila sasa kwa gari "imara" used kutoka Japan, Toyota brand ndio inaweza kuongoza, ikifuatiwa na Honda namba tatu...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna...
2 Reactions
6 Replies
825 Views
Za siku wakubwa. Leo naomba niwaletee uzi ambao asili yake ni kutoka kwenye group letu la whatsapp la ISAL Motors juu ya malalamiko kwamba kuna gari fulani ni bora kuliko ingine kwamaana ya kudumu...
16 Reactions
78 Replies
7K Views
Kwema Wakuu Naomba kujuzwa spare parts za hii gari tajwa NISSAN HARDBODY J83 ENGINE QD32 napata wapi za mtumba imported na spare used za hapa hapa bongo (maana spare used za hapa bongo ni cheaper...
1 Reactions
6 Replies
586 Views
1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naomba uzoefu kwa ambaye ameshawahi kuitumia hii gari (Swift) anipe uzoefu wake kwenye mambo yafuatayo: 1. Uimara kwenye barabara zetu za mikoani. 2. Upatikanaji wa spare parts...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Wakuu poleni na majukumu, Naomba msaada wenu Gari yangu imekuwa na Tatizo la kuzima ninapokuwa naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Back
Top Bottom