Kwa wale wenzangu enthusiasts wa driving stretch ya DSM -Mbeya and beyond.
Nimewawekea clip ya sehemu za Iyovi.
Sehemu hizi inabidi upende usipende uendeshe kwa adabu, na spidi ndogo.
Uki...
Mambo ya ushabiki na ulimbukeni wa Ligi za Mabasi upo sana Mkoa wa Mbeya Sasa sijajua tatizo Huwa ni nini hasa?
Mbona mambo ya ushabiki wa Ligi za Mabasi haupo Mikoa mingine isipokuwa Mbeya tuu...
Habari wakuu hii gari aina ya toyota hizi toleoo la mwaka 2020 kama sikoseii nigari bora zaidi kutolewa kwenye matolea ya landcruiser prado ndomana hata serkali yetu inayaagiza kwakasi sasa...
Wazoefu wa magari naombeni uzoefu wenu juu ya haka kagari upande wa matengenezo yake kama upatikanaji wa spea zake na ustahimilivu pia.Ni nini cha kuzingatia hasa maana nahitaji kununua used kwa...
Sote tunajua engine ndio kitu cha msingi zaidi kwenye gari kwani kupitia injini ndo tunapata mjongeo wa gari na sehem nyingine kufanya kazi. Watu wengi humiliki magari bila kujua namna bora ya...
Jee ukinunua gari mpya kutoka nje ya nchi pale bandarini kuuingiza nchini TRA wanakata sh ngap?
Mfano nimenunua gari ya kutembelea ndogo ya milioni 5 jee kwa hii gari watanikata shilingi ngapi?
Juzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo...
Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe...
Habari great thinkers
Nina boxer bm 150 niliyoitumia kwa takribani miaka 7 (84,000km mileage) sasa kuna mtu katokea anaitaka kwa 1,700,000/=
Sasa nilikuwa nafikiria nikiuza ninunue Shineray...
Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji.
Kwenye reserve...
Wakuu habari za wakati huu?
Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.
Imefikia...
Kwa muda sasa redio yangu haina remote kitu ambacho hunifanya ili nibadilishe njia ya matumizi ya redio au tv kunilazimu nisimame nikabonyeze button.
Je, ninaweza kupata remote yenye uwezo wa...
Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu.
Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.