JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Nataka kununua toyota Rumion, naomba uzoefu wenu kwenye hii gari. Toyota Rumion
5 Reactions
112 Replies
36K Views
Au kwasababu niko mjini ila ndani ndani Ndo maana siyaoni .. Ipo moja tu Iringa nzima.
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu. Kijana wenu natarajia kununua gari mwishoni mwa mwezi huu. Magari niliyo yapendekeza mpaka sasa ni mawili tu: - Toyota RAUM - Toyota RACTIS Sijawahi kumiliki gari, hii ndio...
1 Reactions
63 Replies
22K Views
Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini. 1. Reach stacker Reach Stracker ni mtambo...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue...
17 Reactions
56 Replies
5K Views
Jamani naomba msaada kwa nayeifahamu vizuri, anisaidie nataka kuinunua kwa mtu. Imetengenezwa 1993 model ni pajero ni manual ina mile 285243 ulaji wake wa mafuta ukoje ...naomba nisaidiwe ...nione...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu, kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati. Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye...
120 Reactions
409 Replies
181K Views
Umiliki wa gari ni jambo zuri sana ambalo ni ndoto ya watu wengi lakini ujuzi wa magari ni jambo linalofahamika na watu wachache sana. Kama unamiliki au umekabidhiwa chombo chochote cha usafiri...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi Landcruiser 2013-2017 Prado TXL 2019-2023
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kama tujuavyo IST ndio Gari zilizo nyingi kwa sasa mtaani na zote zikiwa na Engine model 1NZ-Fe (CC1490) na 2NZ-Fe (CC 1290) Engine za 1NZ na 2NZ zote kwa pamoja hukumbwa na matatizo...
33 Reactions
79 Replies
30K Views
Naomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau habari.Hivi nauliza hakuna app za kuuza na kununua magari zaidi ya kupatana na Jiji. Na je hakuna channel au magroup ya wauza magari.Si unajua tena najitagutia ka mkweche.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mwenye kufahamu ubora wa tairi za road Cruze r dhidi ya good ride
2 Reactions
4 Replies
742 Views
Ka Ushakutana na shida yoyote kwenye gari yako ikakutatiza share Hapa Usaidiwe
3 Reactions
114 Replies
8K Views
BMW 3 SERIES vs AUDI A4 vs TOYOTA CROWN Naomba wajuzi wa mambo wanisaidie uchanganuzi wa hizi gari mbili. Ahsanteni Audi A4 Toyota Crown
6 Reactions
157 Replies
25K Views
Habarini wana jamvi, naomba anayejua kuhusu hili gani anieleze ubora na matatizo yake kama yapo Toyota Vitz Clavia
0 Reactions
42 Replies
17K Views
Back
Top Bottom