JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Ni matumain yangu hamjambo. Aisee juz nusra nikaange gari yangu maana nimetembea 200km na nusu lita ya engine oil. Nligundua gari haipo sawa maana nikiwa napandisha mpando kulikuwa na...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari. Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme]. Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged? Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana. Naombeni...
7 Reactions
355 Replies
62K Views
Jamani wakuu poleni na majukumu,nina gari yangu Verrosa yenye engine ya 1G VVTI kwa sasa imefika kama Km 200,000 imeanza kutoa moshi na inaonesha dalili za kula oil japo sio sana. Naombeni kwanza...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu! Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko. Naombeni ushauri...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari Za mchana Naomba kwa mwenye uelewa juu ya makampuni ya bima Za magari anifamishe. Nahitaji kampuni ambayo pindi upatapo tatizo siyo wasumbufu kukulipa. Naomba...
2 Reactions
46 Replies
20K Views
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha...
7 Reactions
9 Replies
707 Views
Naondoka asubuhi na gari yangu binafsi Harrier 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza. Gari ni mpya kilomita 560 from Dar to Moshi niandae lita ngapi. Natumia AC mwanzo mwisho, driving speed 80 to 120.
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Nipo kijijini ndani ndani na ninahitaji kununua gari ambayo haitonisumbua kwa mafuta au gereji ya mara kwa mara. Nimekuwa natamani gari hizi mbili ila sijiu ni ipi sahihi kwangu ambayo...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
2 Reactions
11 Replies
692 Views
Wakuu habari? Gari yangu imepata changamoto; ufunguo unashindwa kuwasha gari (kuruhusu injini kuwaka). Kwenye dashboard alama ya ufunguo imewekewa mkato; nimeita mafundi kadhaa wameshindwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wadau naomba kufahamishwa ipi nzuri na reliable kati ya gari hizo tajwa yaani kluger mazda cx 5 au nissan dualis
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale mnaopenda kumiliki magari yanayozalishwa kutoka nchi fulani; kupitia huu uzi, utawasaidia kuchagua haina za magari husika:- Ufaransa Simca FV Bugatti Renault Peugeot Citroen Alpine...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa wazoefu kwenye hili, nimeagiza gari japan, imefikia hatua gari imepakiwa kwenye meli, nimejulishwa tarehe ya kuondoka na kufika japo pia hua zinabadilika. Uhitaji wangu uko...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia? Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo...
1 Reactions
4 Replies
705 Views
Wakuu, Kumekuwa na tabia ya wamiliki wa magari hasa magari binafsi kutoa mabampa(bumpers) ya mbele au nyuma na kuweka ya chuma wakiamini kwamba ndio gari itakuwa imara na Salama zaidi kama...
33 Reactions
59 Replies
6K Views
Kuna baadhi ya wauzaji au madalali wa Magari wanasema Gari ambayo ni 4Wd sio nzuri kwasababu zifuatazo. 1. Zinakunywa sana Mafuta 2.Utengenezaji wake unakuwa mgumu. Hapo nazungumzia kwa upande...
1 Reactions
4 Replies
579 Views
Hello! Habari za usiku wakuu, poleni na hongereni kwa mapambano ya kila siku. Leo nimekuja kwenye jukwaa hili niombe ushauri ambao unaweza ukanisaidia mimi na watakaokuja huko baadae. Mimi ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…