Muishi milele wanagarage
Mifumo ya break, power steering na hata clutch inatumia haudraulic kwenye gari ndogo,, wakati kwenye trucks breaks najua zinatumia gas, vpi mifumo ya power steering na...
Eti wakuu nikiweka lita 1 ya petroli kwenye pikipiki itaisha kwa kwenda umbali wa kilomita ngapi? Nataka nijue ili nijilipue.
Nataka nitoke na pikipiki kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza. Dar es...
Habari wataalamu,
Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma...
Heshima kwenu wakuu,
Binafsi ningependa kwa wale wote ambao wamewahi kumiliki au wanamiliki na wale wenye ndoto za kumiliki magari ya kampuni ya NISSAN tukutane hapa tubadilishane uzoefu...
I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your...
Siku ikiwa imeanza na tukiendelea na ujengaji wa uchumi wetu na nchi kwa ujumla. Leo ningependa kuelezea kitu ambacho watu wengi huwa tunakumbana nacho na mara nyingi hiki kitu ubaya wake hutokea...
Naaomba mawazo yenu nahitaji kufunga mziki wa kawaida siyo mkubwa sana but wenye sauti ya kutosha, naomba ushauri nitumie vifaa gani vya gharama nafuu?
Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza.
Tatizo lilianza mwaka mmoja...
Habari zenu wadau,
Gari yangu baada ya kutoka kwa fundi maiko nimegundua kwamba nikipandisha kioo cha upande wa dereva kikifika juu hujishusha kama robo hivi. mpaka ufanye timing ya kupandisha...
Ndugu wanajukwaa hasa mafundi wa magari,kuna gari ya anko wangu aina ya RV4 J,ukiweka reverse au kwenda mbele hukita mlio flani,hili tatizo halikuwepo kabla.
Je, ni tatizo gani na linaweza...
Habari,
Naomba kujua changamoto za IVECO STRALIS zilizotumika bongo maana ikishatumika bongo bei zake naona huwa chini sana kuashiria kama kuna kitu hakiko sawa.
Niko mbioni kununua gari Aina ya Subaru forester xt series au SH series Kwa wale wajuzi wa magari na wenye experience za magari ipi gari nzuri in terms of ÷
1:ulaji mafuta
2: stability
3:ukubwa...
Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha...