JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka? Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi? Msaada please.
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Naomba msaada hapa, gari aina ya ractis pale nikiwa ninarudi reverse kuna sauti fulani kama ya kitu kinagongwa mara kwa mara au kama kinatetemeshwa hivi. Nilienda kwa fundi...
2 Reactions
14 Replies
910 Views
Wadau Natafuta exhaust system (complete ) ya Engine ya Ford Zetec 16V. Yeyote mwenye nayo tuwasiliane. Kupitia PM
0 Reactions
0 Replies
336 Views
KWANINI HAKUNA MTANZANIA ALIE WEZA MILIKI GARI HII Licha ya Tanzania kuwa na watu matajiri Lakini kwanini mpaka sasa sijaona mtanzania yoyote alie weza kumiliki gari hii je kuna shida gani...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Gari aina ya Honda Crossroad ni aina ya gari inayotokea kunivutia sana kutokana na Muonekano wake, nafasi ndani ya gari ya Engine safi na hata Ground Clearance fasi kwa barabara zetu za huku...
8 Reactions
54 Replies
12K Views
Gari ni Nissan Murano, ipo Garage, ina miss wanasema. Interior imechakaa sana. Engine V6. Alipe kiasi gani kuinunua?
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kumbe kumiliki Brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta. Halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana, wanaogopa nini? Je, kwanini wenye Brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini...
5 Reactions
321 Replies
58K Views
Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo. Baada ya kutembea Kahama, Maswa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
What SUV would you advise me to buy between VW TIGUAN, BMW X3, AUDI Q3 and TOYOTA RAV4, please I'd appreciate reasoning for every choice starting with price, engine size, fuel type etc, or if...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani...
28 Reactions
238 Replies
35K Views
Habari mafundi Nimekuwa mpenzi sana wa kutumia hii oil ya Total katika pikipiki zangu ila kutokana na maneno kuwa mengi juu ya oil ya total kuchakachuliwa nimeona huenda kuna ukweli.Sasa ndugu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni lita ngapi ya Mafuta wakuu naweza nikatumia kutoka Arusha Mpaka Simiyu kwa Gari ya Escudo
1 Reactions
7 Replies
946 Views
Msaada wenu wakuu mnaoinaje mitsubish outlander nafikiria kuinunua
1 Reactions
3 Replies
643 Views
Wakuu msaada tafadhali Jamaa anamiliki Subaru forester ya 2008 Kabadili engine oil juzi tu,ila gari imeanza kutoa mlio kama wa Scania Hapa ananiuliza shida itakua ni nini, kwavile mie sio fundi...
4 Reactions
33 Replies
10K Views
Wakuu kwema, Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana. First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Nani mwenye ladha, speed, durability, fuel comsuption, acceleration kubwa, comfortability na price. Pia faida na hasara za kuwa na torque kubwa au ndogo.
0 Reactions
6 Replies
738 Views
Wasalaam, Kama swali linavyojieleza hapo juu ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion kuanzia kimuonekano, speed, kudumu na nguvu. Pia ipi ambayo imeteka sana soko la tz kati ya hizo...
0 Reactions
11 Replies
20K Views
Wakuuu habari za asubuhi, Naomba msaada Jua limeharibi dashbord la kwenye gari yangu. Nimehangaika kutafuta spray. Yoyote ile itayoweza kusaidia ku repair damage lakini madukani hakuna. Kubwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenye kuijua vizuri hii gari,chuma ni manual halafu ina gia 6.. Courtesey:From twitter.
2 Reactions
9 Replies
929 Views
Back
Top Bottom