Habari za mda huu ndugu zangu
Ningependa kufahamu kwa anaye fahamu au anyejua kufanya shipping ya diagnostic machine kutoka nnje model mwaka 2022-2023
Naomba anisaidie au kama kuna mtu anafanya...
Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo
1. Pale kwenye fuse box ya engine slots...
Matumizi ya vileo - hii sio rocket science, inajulikana ulevi unapunguza umakini barabarani.
Matumizi ya simu za mkononi hasa ya mara kwa mara - mtu anaendesha huku anachat WhatsApp na kujibu...
Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme.
leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe.
Dereva aliniambia bajaji za umeme...
Salaam wadau!
Nina toyota Vitz 2000 1300cc ambayo haina hata miezi mitatu tokea iingie Tanzania!
Nilihakikisha fuel tank mafuta yameisha nkatia mafuta 27Lts na kwenye fuel gauge ilionesha 5 bars...
Habarini ndugu watanzania wenzangu.
Naombeni kupata uzoefu wenu kwa biashara ya daladala kwa hapa jijini Dar es Salaam, ningependa kufahamu, changamoto zake, fursa zake, namna bora ya uendeshaji...
Habarini wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje.
Kwasasa natumia Toyota...
Habari wakuu.
Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika.
Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa...
Wataalam habari
Ninachangamoto ya kusumbuliwa na tatizo la kusmoke mara kwa mara kwa bajaji yangu aina ya tvs
Oil kila baada ya wiki mbili
block na Piston ni OG na nimefunga wiki mbili nyuma...
Habari
Poleni na majukumu
Watalam naomba kuuliza
Je inawezekana kubadili lugha kutoka kijapan-kingereza
Na je inawezekana kuconnect Bluetooth na simu?
Anayejua msaada tafadhali
Gari ni...
Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
Magurudumu (Tairi) za ndege hazina kiunganisho wala husiano na injini za ndege iwe Pangaboi au Jeti.
Gurudumu huzunguka huru kama toroli au au kiti cha kusukuma "wheel chair" isipokuwa tu...
Habari zenu nyote,
Nashukuru kwa wote ambao mlinishauri kwamba nikasome kozi ya Auto electricity. Na hakika ushauri wenu nitaufanyia kazi.
Ila kwasasa ninaomba kwa yoyote anayefahamu chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.