JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu, Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, kati ya Premio, Belta, Allex ,Runx na Raum zote 1.5l nichukue ipi? Kipato changu cha kawaida, vigezo 1. Ulaji mdogo mafuta 2. Spare bei nafuu 3. Body imara 4. Kuhimili safari ndefu kila...
4 Reactions
58 Replies
9K Views
Wakuu wanajamvi habari za muda huu. Hivi karibuni nimekua nakutana na hiyo alama kwenye dashboard (!). Kwa wazoefu wa magari hiyo alama inamaanisha Nini na kama Kuna tahadhari Nini Cha kufanya...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
wakuu hbr poleni na mihangaiko ,wengine mnasubuliwa na hang over ,msaada wa hili kwa nini kwa sasa subaru legency bei imekuwa chini sana na bado watu hawazichangamkii shida haswaa ni nini ? Toka...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo 1.ulaji mdogo wa mafuta 2.upatikanaji na unafuu wa spare 3.uimara wa gari rafu road...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari zenu Mara nyingi nimekuwa nikipitia comment za watu humu suala la Rpm limekuwa likiongelewa sana Naomba kujuzwa kwamba ili gari itumie mafuta vizuri Rpm inabidi iweje na je Kuna uhusiano...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Niaje wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 20, elimu yangu ni kidato cha sita .. sasa nimekua interested sana na udereva wa malori, ndio kazi ninayo ipenda kupita maelezo lakini nahitaji uzoefu kutoka...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Whatsapp yangu imegoma hainiambii temporary or permanent ban, lakin ina nipeleka ku download official Whatsapp ambayo nayo mwisho wake inasema fail to install.
0 Reactions
4 Replies
579 Views
Habar naomba kuuliza wauzajazi wa magar amabo wanauza gari ambazo hazipata ajali wa mbovu kwa dar,mwanza au mkoa wowote
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau, 1. Ni wapi wanauza engine za pikipiki za Honda maarufu kama Honda Manji. 2. Kama kuna mtu anauza iliyotumika bila kujalisha hali anijulishe. Wasalam.
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Je, wewe ni mmoja wa wale watu ambao wanajitahidi kuwa katika makali ya teknolojia, kukumbatia urahisi wote, usalama na amani ya akili ambayo Enzi hii ya Habari inatoa? Ikiwa umejibu "ndio" basi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu! Mafundi magari wa DSM hasa nyie wa vichochoroni (chini ya miti) miyeyusho sana. Hamuelekezeki na mnakuwa wakali wakali sana hata kama mkiharibu kazi. Mna mambo ya kishamba sana. Mna...
7 Reactions
18 Replies
847 Views
Wakuu habari zenu. Gari yangu ni Premio ila kuna shida naiona kwenye AC. Kuna muda AC inakuja kuna muda inakata. Shida itakuwa ni nini?
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kumekua na ongezeko la watumiaji wa system ya gas kwenye magari nchini... hofu yangu ni hamna elimu yoyote inayotolewa kuhusu matumizi ya nishati hiyo japo kua ni nishati cheap...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS. Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China. Injini za...
11 Reactions
63 Replies
10K Views
Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya? Mbaya zaidi kusiwe na...
1 Reactions
5 Replies
742 Views
Nataka kununua Volkswagen Golf ya diesel (2.0 TDI GT DSG) ya mwaka 2007 ya Uingereza. Naombaeni ushauri kwa ambaye ana ujuzi wa gari hizi haswa kwenye upande wa maintanance na changamoto zake kama...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello Team Howo, Naomba kufahamishwa kama kuna muungwana ambaye anamiliki au alishawahi kuendesha hizo Howo za Kichina refurbished utendaji Kazi wake ukoje, naomba wale wapenda king of the road`...
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Back
Top Bottom