Wakuu
Nimejichanga sana mpaka kufikisha kiasi cha milion 4 kwa lengo la kununua gari ambayo haitanipa mzigo katka kulihudumia hapa jijini
Kipato kwa mwezi hakipungui laki 6 hakizid laki 8, gari...
Waheshimiwa saaaana, heshima kwenu.
Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekuwa mtumiaji wa passo kwa miaka kama 5 hivi, nimeendesha passo 2 hadi sasa
Baada ya corona kuingia nliacha kabisa...
Habari za asubuhi wakuu.
Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity).
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu...
Kuna IST mbili nimepata kuziona mtandaoni hivi karibuni. Zimekuwa pimped kibabe, kali sana. Moja ni number DPD na nyingine ni DNN.
Zote za Grey hivi kama sio metalic black. Kama wahusika wanaona...
Wadau napenda kujua kuhusu hii gari yangu cc 990 kuhusu fuel consuptiom nimeweka mafuta ya 20k nikatembea nayo kwa umbali wa km 55.1 mafuta yakakata kabisa.
Ningependa kujua ni pia kuwa odometers...
Habari Wakuu...... Niko mbioni kuagiza Toyota Allex ila kabla ya kufanya maamuzi hayo ningependa kupata maoni ya wataalamu juu ya uzuri na ubaya wa hiyo gari.... Kuhusu labda ulaji wa mafuta...
Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi
---
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani...
Hope wote mnaendelea vema na majukumu,
Ebana eeh, kababy walker kangu kalizingua front wheel bearings nikiwa mkoani. Sasa jamaa wa garage akashauri tuagize kutoka Dar, kuuliza bei nikaambiwa kwa...
Mimi ni kijana wa miaka 19, nipo Kigoma, nilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Na nilipata div 4 ya point 33. Nilienda Veta nikasoma udereva na nina cheti pamoja na leseni daraja D, na tayari...
Habari za usiku huu?
Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara.
Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan.
Nataka kununua...
Wanajamvi,
Naomba kufahamu zaidi kati ya Nissan X-Trail na Toyota Rush Kwa msela kama Mimi ninayeanza maisha ni ipi inafaa zaidi kimatumizi ya kila siku, usalama, uwezo wa kupita na uendeshaji...
Habari wanajamvi,
Jana nilikuwa naendesha gari, bahati mbaya kulikuwa na foleni sana taa ya tank la mafuta ikaanza kuwaka,mafuta yalikuwa yameisha sana. Nilipofika kituo cha mafuta mafuta...
Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntaweze kumpata mtu huyu?
Mzamini wake ni mama yake mzazi...
Habarini wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada, nina gari Carina Ti My Road. Hii gari ni mwaka wa 5 huu ninayo sasa changamoto kuipata hiyo Cabin filter ya ac ili tupulize vumbi au kuibadilisha...
Kama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.