Toyota allex na runx kwa muonekano zinafanana sana. Lakini ningependa kujua kwa wajuzi wa haya mambo, tofauti kubwa ya hizi gari ni nini hasa.
Pili nipo interested kununua toyota runx 2WD, naomba...
Habar wakuu mbali mbali,naomba msaada kwa mafundi wa Air condition za magari.
Jana wakati naendesha gar nilihisi kama ndani ya gari nnapowasha AC hakupatikan ubarid wa kutosha kama niliouzoea na...
Kumekuwa na trends ya magari ya aina fulani kutamba katika kipindi fulani cha muda, ambalo kimsingi si jambo baya. Lakini hii inaweza kusababisha watu wengine kununua gari kwa kufuata mkumbo tu...
Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada.
Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni...
Ee bwanaa eeh!
Kampuni kongwe kam hii KILIMANJARO Express, DAR Express, TAHMEED Na SAULI naanza kuelewa kwa nini hawataki kubadili muonekano, muundo wala mfumo wao wa usafirishaji japo...
Habari wana jf.Nimekuwa nikipita pita kupatana.Unakutana na gari linaonekana lipo order sana,ila bei yake ni ndogo sana.Kuna muda huwa napata mashaka huenda gari hizo zimeibiwa.
Naombeni ushauri...
Wakuu heshima yenu, kuna garage nilipeleka gari kutengeneza
Battery ikawa down kuna mwehu mmoja akaja ku boost gari kwa kutumia terminal za battery badala ya ile external knob iliyowekwa kwa...
Msaada nimeipenda hii pikipiki pichani nahitaji kuinunua nchi jirani ya Kenya nahitaji kujua ushuru wake unagharimu kiasi gani hadi usajiri,maana nimeingia kwenye app ya TRA haina option ya...
Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana...
Ndugu zangu kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, kijana wenu nimerudi tena najua hapa jamiiforums ni junguu kuu lisiloisha ukoko, ambamo ndani yake Kuna watu wa Kariba na hali tofauti tofauti...
CNG (Compressed Natural Gas) is a green fuel and emits fewer exhaust gases. It is also efficient compared to conventional fuels. CNG cars are becoming popular due to their low running cost. This...
Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari...
Kwanza kabla sijaanza kueleza kisa changu naomba niongee kitu kimoja.
Huwa nashangaa sana unakuta mtu ana IST old model, passo, harrier old, Noah Sr40/sr50, Noah voxy za mwanzoni, Harrier chogo...
Wadau hebu tusaidiane kutoana tongotongo. Wengi wetu tumesomea udereva lakini si kila kitu kuhusu gari na matumizi sahihi tunayafahamu. Basi Leo naomba tupeane hints hapa za jinsi ya kupark...