Katika gari za Automatic kuna gia za L, 2, na 3. Watu wengi hawafahamu kiundani matumizi ya gia hizi hivyo mara nyingi hujikuta wanakosea wapi na namna ya kuzitumia. Katika maelezo haya hapa...
Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.
Hii thread sitazungumzia kabisa...
Marekani ina soko kubwa zaidi la magari duniani. Makumi ya maelfu ya magari yanatengenezwa kila siku. Mtengenezaji magari aliyefanikiwa na maarufu namba moja ni General Motors. Chrysler sio...
Hii thread ni maalumu kwa ajili ya results zote ambazo nitakuwa nazipata baada ya kufanya diagnosis kwenye magari. Nitakuwa napost screenshots za hizo codes pamoja na hatua mbalimbali...
HABARI ZA MUDA HUU NDUGU ZANGU
☆TUNATOA HUDUMA YA UCHIMBAJI WA VISIMA VYA KISASA NA BORA
☆Location:- Dar es Salaam
☆PIGA SIMU NO:- 0714246117
KARIBUNI..
Natafta air compressor ya angalau lita 50 inayotumia umeme..
Lengo ni kufanya kazi na pikipik na bajaji...ikipatikana popote sawa Ila ikiwa Arusha itapendeza zaidi..
Used au mpya...
Ila isiwe...
KAMPUNI YA MARCOPOLO
Kampuni ya #marcopolo ilianzishwa tarehe 6 Agosti 1949 huko Caxias do Sul kama Nicola & Cia Ltd.
Wakati kampuni inaanzishwa ilikua na washirika 8 na wafanyikazi 15.
Mnamo...
Na kenge,
Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani.
UTAFANYAJE?
Wizi wa vyombo ni tatizo kote...
salam wanajamvi. kuna chuma flani kinakaa chini ya gari kwenye matairi kwaajili ya mneso kinaitwa stabilize link bar nina kitafuta kama anaweza kupata niunganishe.. nahitaji ya nyuma. gari ni...
Habari ya weekend wakuu
Naomba mwenye kujua gharama za hawa jamaa kuhusu
1.Painting ya magari
2.Upholstery service
Nimevutiwa na kazi zao kule page yao instagram ..nikaona niulize kama kuna watu...
Silii kwa ajili yangu, nalia kwa ajili ya the coming young stars , and the coming generation.
Magari ya michezo ni bei kubwa sana na ushuru wake ni mkubwa, hawa chipukizi watawezaje?
Sera za...
Wakuu ninafuatilia mtandaoni kuhusu uhusiano wa hii topic naishia kuchanganyikiwa tu. Pia nimesearch Jf bahati mbaya sijaona, ukiwa na gari ya cc1990 na ingine ya cc2700 bado the same amount of...
Ni wakati sahihi kwa watumiaji wa injini za boti kwa ajili ya uvuvi, utalii na matumizi binafsi kugeukia injini za kutoka China baada ya miaka mingi kutumia injini zenye brand kubwa kama Yamaha...
Hali imebadilika ata ile mikoa uliyokua na avon phonex sehewa kama pale tanga mjini sasaivi hali imebadilika ni king haujue TVS huoniao fekon toyo sasaivi namba ni e muda si mlefu gali zinapitwa
Hii ni special kwa wasio kuwa na uelewa wa kupaki gari lenye automatic transmission kwa usahihi.
Hatua ni kama zifuatavyo:
1. Kikawaida gari likiwa kwenye drive au reverse ukiwa unajiandaa...
Habari wakuu,
Mwenye nazo au anayeweza kunielekeza kwa mwenye hizi taa za nyuma za Toyota Ractis, msaada tafadhali. Ukisaidia na bei zake kwa mpya au used utakuwa umenisaidia sana