Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

System inaitwa Secondary School Information Management System(with android application) Ina manage taarifa za Academic na Finance za Shule Requirements 1.Hosted Website Shule ikiwa na website...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
wanabodi natumaini mu wazima wa afya ni muda sasa natafuta duka au mtu yeyote anayeuza mbegu za shairi (barley) kwa mkoa wowote Tanzania Naomba kama kuna mtu mwenye contact anisaidie/au hata...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habari wana jamii, nimejaza form za kuweka umeme kwenye site yangu iliyoko salasala ninahitajika nizipeleke mbezi kwa surveyors wa Tanesco I hope!!!!! Kwa naejua wako wapi anijuze please!!!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumai mmeuanza mwaka kwa amani na matumaini mapya,ninakuja jukwaani kutafuta ushauri,mawazo.Niko mkoa wa Kagera na hivi karibuni nimebarikiwa kupata chumba cha biashara pamoja na kimtaji...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vijana na watu wengi hawapendi kulima kwa sababu mbili. Kwanza ni kukosekana kwa masoko ya uhakika wa mazao ya kilimo na bei kuwa ya chini. haya yote yanasababishwa na serikali kuzuia watu kuuza...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa wale wanaoota kuwa bei ya mafuta itashuka Bongo kwa vile bei kwenye soko la mafuta la dunia imeshuka kwa zaidi ya asilimia hamsini, they are 'day dreaming'! Sababu zifuatazo zinachangia kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imekuwa ni masikitiko makubwa sana kwamba mafuta yameshuka a zaidi ya asilimia 50 na shilingi imeshuka kwa asilimia 10 to 15 lakini mafuta kwenye pump hayashuka tunanua kama yalivyokuwa $ 90 kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi, nimekuja hapa uwanjani petu huku nikijua kabisa kuwa humu ndani ya JF kuna wataalamu wa kada zote na ninaamini hakuna hoja inayotelewa humu akakosekana mtaalamu mwenye majibu...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
hi dears! natafuta mtu anaefanya hiyo biashara au mwenye uelewa kuhusu hiyo business aniPM. ahsante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello Wadau, niko kijijini, hapa kupata petroli ni shida. Natafakari kufungua duka la kuuza petroli kwa rejareja, sio kufungua petrol station. Naomba mnifahamishe sheria na taratibu zinasemaje...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Boost for KQ as Jambojet gets regional licence SHARE BOOKMARKPRINTRATING Jambojet MD Willem Hondius at Moi International Airport, Mombasa last year. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP By...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mwendelezo wa kuporomoka kwa bei ya nishati hii muhimu duniani, leo imefikia usd 51, EWURA MPO!!!!!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibuni sana!brazilian weaving original 100%human hair inchi 8 zinapatikana!nywele hii unaweza kuiseti,au kuipasi,and hata kuitong!bei nafuu ni elfu 50 tu!karibuni wote!Pia unaweza kuletewa hadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni MZUNGUMZAJI MHAMASISHAJI, pengine kwa utangulizi nieleze nini maana hasa ya MM. MM ni mtu anaezungumza ktk hadhira akiwa na lengo mahsusi la kupandikiza mbegu za uthubutu na kujitambua kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la mabenki hapa Tanzania. Jambo linalonishangaza ni mabenki haya pamoja na wingi wake kushindwa kuwafikia waajiriwa wa serikali na wa sekta binafsi. Asilimia...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za Jumapili hii , Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha tarehe kama ya leo, am so happy ila nazidi mwomba anifikishe 2015 pia. Leo napenda kuwafahamisha ya kwamba kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lion attack victims flee hospital at nightSHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING Tarangire National Park game wardens look at carcasses of six lions after they were reportedly killed by residents of...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Habari ndugu Mtanzania, ninatumaini u mzima wa afya njema! Merry Christmas and happy new year 2015. Katika kuhakikisha tunaboresha huduma zetu Kampuni ya Chinaworldbuz yenye makao makuu Shanghai...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
habari,naomba kwa ambae amewahi agiza bidhaa za online anipe mwongozo mfano bidhaa ikifika posta au ofisi za DHL kuna gharama gani za kulipa kama kodi??mfano umeagiza simu,nguo n.k
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…