Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

PRICE: 100,000/= Net Weight: 907g Toolkit Size: Approx 26.8cm x 18cm x 5.3cm(LxWxH) Color: Deep green This instrument is designed to identify and trace wires or cables without damaging the...
1 Reactions
1 Replies
719 Views
Habari wakuu, naomba tusaidiane ni jinsi gani ya kufungua Kampuni ambayo itakuwa na vikampuni vidogo dogo ndani yake kama ilivyo Bakhersa Company Group, ndani ina Azam TV, Azam FC, Azam Marine na...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau mi ni mteja wa crdb kila nikipita naona mawakala wa fahari huduma,ila sijawahi kupata huduma yoyote kwa kupitia hao mawakala wa crdb,naomba uzoefu wenu kama kuna mtu alipata huduma kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mojawapo ya vichocheo vikubwa ya maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote duniani ni nishati ya umeme, lakini hapa kwetu Tanzania nishati ya umeme imekua kama zawadi kwa wananchi. Leo hii ni wiki na...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
http://youtu.be/KlD3Hw7jq3M wapewe nafasi walipe tuuu!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kufahamu gharama nitakazolipia ikiwa nitataka tangazo la biashara yangu lionekane hapa. Pia naomba kwa yeyote anayefahamu gharama za ku-launch website anifahamishe tafadhali. Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Danish firm says 365 Turkana turbines order largest in its history SHARE BOOKMARKPRINTRATING Lake Turkana Wind Power Plant Project chairman Mugo Kibati (right) and former chairman Carlo van...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Habari Wana JF naombeni kwa mwenye uzoefu au nyumba ya kupanga maeneo ya kunduchi au Changanyikeni au Tegeta Ani PM Tuongee Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nampango wa kuanzisha utengenezaji na uuzaji wa chakula cha ngombe ( hay) ,naomba ushauri nitapata wapi au ntaagiza wap hay harvester - ya kutosha kuvuna walau ekari kumi kwa siku( kubwa ) -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi mlioko Arusha, naombeni msaada wa majina ya hostel au rest house nzuri na zenye bei nafuu hapo Arusha mjini ambazo zinafaa kuishi mgeni wa Kitanzania. Lengo ni kujaribu kupunguza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://www.tonyelumelufoundation.org
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Looking for people who own and trade stocks in TZ? Or an individual with enough knowledge on stock trading, specifically TZ stocks. Currently trade low price stocks in the US. Would like to invest...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana wengi wamesoma wameelimika lakini wanashindwa kuwa na vitu kama hivi ili kuweza kupata create ideas zao katika mambo ya ki technology. Hii ni router ambayo unaweza kutengeneza electronic...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1.Je unachanganywa sana na maeneo kama Kariakoo wakat unatafuta mahitaj yako ya kibiashara? 2.Je wewe ni mgeni jijini Dar es Salaam na ungependa kupata mahitaj yako bila kusumbua watu kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Idea yako ndio utajiri wako! Kama una idea makini ya kibiashara tuwasiliane tuipe uhai idea yako. Wadau kama kuna yeyote mwenye idea ya kibiashara, lakini ameshindwa ku finance idea yake...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
habar ndugu zangu watanzania, mimi ni mjasiliamali mdogo nimemaliza chuo ud nimeona nijiajiri kupitia biashara ya mafuta ya alizeti, kikubwa naomba mniunge mkono lita tano (5) ni Tshs. 18000 tu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada kampuni ipi inasafirisha mizigo Dar hadi Nairobi kwa bei nafuu? Uzito wa mzigo hauzidi kilo mia tatu.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
naomba kujua bei ya Nanasi shambani maeneo ya Bagampyo!
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nipo morogoro,mfanyakazi wa mkataba.nina nssf ila sijui saccos zilipo.nna nyumba squater isiyo na ofa.nifanyeje nami natamani nikope!
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…