Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga...
3 Reactions
23 Replies
618 Views
Kama kichwa Cha habali hapo juu nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge Toka tunduma kiukweli Sina uzoefu na hii biashara namuna ya kuupata Mzigo mpaka kuufikiaha dar na cost zake nitashukuru.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwaka 2010 asilimia 5% tu ya biashara zilikuwa zinatumia social media. Leo 2024 asilimia 98% ya biashara zote zinatumia social media. Leo 2024 asilimia 5% tu ya biashara zinatumia AI Kama...
2 Reactions
4 Replies
369 Views
Najiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati. Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane...
8 Reactions
73 Replies
8K Views
Wanabodi, Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa...
6 Reactions
31 Replies
7K Views
Mtu mwenye nidhamu ya kuweka akiba ya pesa, mambo mawili humuongoza katika safari yake ya mafanikio 1. Matumizi ya lazima 2. Matumizi ya muhimu Matumizi ya lazima Ni aina ya matumizi ambayo mtu...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana jamiiForums mambo vipi.. Naomba mnisaidie vitu vya muhimu kuwepo ndani ya chumba cha lodge. Ili iongeze utofauti na mvuto wa lodge.
2 Reactions
12 Replies
918 Views
UTAJIRI MKUBWA ULIOPO KWENYE UWEKEZAJI WA DHAMANA ZA SERIKALI Uwekezaji kwenye dhamana za serikali umegawanyika makundi mawili. i) Dhamana za muda mfupi (treasury bills) ii) Dhamana za muda...
80 Reactions
245 Replies
75K Views
Naomba connection nikitaka agiza mzigo Kariakoo bila mimi kwenda huko
1 Reactions
16 Replies
634 Views
Naomba kwa anaelewa anifafanulie kiundani ni jinsi gani Treasury bills and bonds zinavyofanya kazi. Pia kati ya hizo mbili ukilinganisha na Fixed Deposit Account. Assuming ni 100,000,000 nataka...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Mimi ni mwalimu daraja la IIIB. Nina zaidi ya miaka 5 bila ajira. Kijijini kwetu kuna changamoto ya Shule na wazazi na jamii Kwa ujumla wamejichangachanga hera na wamejenga madarasa mawili pamoja...
1 Reactions
6 Replies
613 Views
Nadhan nimeeleweka wakali nisiwachoshe ntakua DODOMA kwa mda wa siku kadhaa almost wiki, anayehusika na mambo ya udalali wa kichwa cha habari, tafadhari tuwasiliane
1 Reactions
2 Replies
319 Views
Wadau ninekuwa natamani kununua bond za mda mrefu. Nina millioni 75, je ni njia ipi rahisi kununua hizo bond zinazolipa interest ya 15.49 hadi 15.90pct kwa mwaka? Njia ya Moja kwa moja BOT naona...
1 Reactions
3 Replies
386 Views
  • Poll Poll
Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka…. Ila ukwel ni kwamba...
4 Reactions
6 Replies
582 Views
Hapa namaanisha kiwanja kilichopimwa, kinachotazama barabara ambayo iko busy mahali ambapo naweza kujenga jengo la biashara na ofisi. Kiwe na full documents, kisiwe na migogoro, mauziano...
4 Reactions
13 Replies
711 Views
Naandika Kwa masikitiko makubwa mno yaani vitu ambavyo vimefanywa miaka ya nyuma (1300) Huko China na (1650) na wenzetu wa ulaya. Kesho kutwa 2/8/2024 viongozi wa CCM. Wanaenda kusaini mikataba...
1 Reactions
6 Replies
392 Views
Habari zenu wakuu. Mapambano yanazidi kupamba moto kila uchwao, kila mmoja katika nafasi yake. Leo nimekuja na swali kwenu nyote wataalamu katika masuala ya kusoma upepo wa biashara kule ziendako...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Na Chedaiwe Msuya,WF,Mtwara Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu. Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Habari! Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya...
34 Reactions
429 Replies
82K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…