Wanabodi,
Kwa mwenye mawasiliano/kujuana na Mtaalamu wa Masuala yan Bakery anahitajika Morogoro.
Itapendeza ikiwa atapatikana kutoka either Morogoro,Dar, Pwani au Arusha.
Kama atapatikane uni PM...
Poleni na majukumu wanajamvi. Naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia mashine za kutotolea(INCUBATOR MACHINES) zinazotengenezwa na KAPARATA ENGINEERING.Je ni nzuri? Ufanisi wake ukoje?
Kichwa cha mjadala huu na kihusike -
huduma ya wafanyakazi wa fast jet hasa hasa sehemu ya check in inavunja rekodi ya huduma mbaya zote nilizowahi kuziona kwenye airline services pahala popote...
Habari zenu wana Jamii,
Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu,
mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo...
Air Seychelles kuzindua njia mpya Dar
Shirika la Ndege la Jamhuri ya Shelisheli, ‘Air Seychelles' liinatarajia kuzindua safari za ndege zake jijini Dar es Salaam Desemba 2 mwaka huu.
Kwa...
The port of Dar es Salaam is the most expensive for importers in the region, besides being the slowest in clearing goods, a new report by the Shippers Council of Eastern Africa (SCEA) shows...
mm ni mfanyabiashara wa simu(simu za kichina) mjini Arusha..sasa TRA washaaza kusumbua tena wanataka wanijumuishe kwa VAT...Nashindwa kuelewa hata wakinielezea sielewi Mara nackia input tax mara...
The following article was published by the Economist on 9th September 2014. It clearly shows that there are some issues which do not bode well for our country. It is unfortunate that we are...
After years of keeping the price of crude sold to the U.S. low enough to maintain market share, Saudi Arabia is losing ground as the shale boom leaves U.S. refiners with ample supplies of...
Jamani me nauliza kodi ya kuweka bango la biashara juu ya paa la nyumba ni kiasi gani? Me nina bango langu ambalo dogo kiasi, sasa wamekuja wale watu wa jiji wananiambia natakiwa kulipia 250,000...
Habari wadau wote .
Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu.
Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa...
Habari wana JF, naomba kuongezewa uelewa juu ya mambo ya Hisa na namna ambavyo mtu anaweza kushawishika kununua na kuuza hisa, nikizingatia mchakato wa ununuzi wa hisa ulioendeshwa na Benki ya...
MKOMBOZI COMMERCIAL BANK,
which is owned mainly by the Catholic Church in Tanzania, is just two years old. The bank shows all signs of a fast growing bank because the Tanzania population is...
Kwa yoyote Mwenye ufahamu juu ya biashara ya hisa faida, hasara zake Maana nataka kuwekeza uko?
naamini wataalam watanisaidia kwenye hili mfano hisa (share) CRDB, NMB, TWIGA NA kampuni yoyote...
Training on collections and debt management for accountants, finance managers, credit controllers,debt collectors...sms your email on 0784 201 332 for more details...
Police records show that between 2010 and the first quarter of 2013, cyber fraud-related losses in banks stood at around Sh9.8 billion ($6.10 million).PHOTO|FILE By Bernard James...