Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Babati. Zaidi ya tani 7,400 za zao la mahindi zilizozalishwa na wakulima wadogo wa kata za Galapo na Qash wilayani Babati mkoani Manyara zimekosa soko na kurundikwa katika Soko la Galapo, eneo...
3 Reactions
38 Replies
8K Views
Nimekutana na mkulima mmoja MOROGORO akanionyesha mwamba wa mawe yanayokamata vyuma. Mwenye kuelewa soko karibu. Mimi sijawahi fanyia kazi hilo.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu hembu wenye kujua hili watupe habari. Hili nimeliona muda mrefu na pia Kuna updtae nimezipata hivi karibu nazimekuwa zikiendelea kutokea . Kwanza ni Miongoni mwa BANK ninazozikubali sana...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Businesses that have recently ventured into East Africa hoping to cash in on a steadily expanding middle class may have to revise their expectations because the expansion was grossly exaggerated...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari ya kazi. Naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu japo kwa makisio (estimation),kiwango cha kodi nitakachohitajika kulipa kwa kuingiza (import) Mashine zifuatazo kutoka china; 1...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mungu mwema tuepushe hayo madini yaishie Biharamulo yasiende wilaya zingine maana madini ni balaa na si baraka. Mifano tunayo hai kutoka katika mikoa yenye madini wanavyodhulumiwa na kuteseka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF naombeni Msaada,nimeshajenga Msingi nataka kupandisha nyumba yangu hadi juu kozi kumi kufunga Mkanda na kuweka kozi 3 juu ya Mkanda(Lenta) wa kusukiwa nondo 4,makisio ya matofali ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The cost of labor in China is going up, so Chinese manufacturers are moving to Africa, and they're playing all the angles. HONG KONG - Sun Qiaoming is a trader from Jiangsu. He operates his...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wote na poleni na majukumu ya kila siku,. Naomba kuuliza,Hivi ni benki gani Tanzania mtu unaweza kufungua akaunti na ukapata ATM kadi yako siku hiyo hiyo na kuweza kuitumia,yaani bila...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Benki gani nchini Tanzania inatoa card inayoweza kuwa integrated kwenye kufanya malipo kwa njia paypal?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau nmesikia tetesi kwamba bidhaa za kieletroniki kama vile simu,laptops,smart tv,game consoles na nyinginezo kwa znz zinauzwa bei rahisi kutokana na ongezeko la uingiaji wa bidhaa...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Bank gani inaweza kunipa mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja ambacho akijajengwa kipo Kibaha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana JF, naomba kujua kutoka kwenu wataalamu wa uchumi ni nini kinasababisha fedha ya nchi kushuka thamani? Pia naomba kufahamishwa ni sababu zipi zimepelekea kushuka thamani kwa fedha ya...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Nashindwa kuelewa ni kwa nini bei ya magari hapa nchini iko juu zaidi kuliko ya nchi jirani ya Zambia ambayo hupitisha na kuchukua magari yake kweye bandari yetu ya Dar es salaam. Naomba mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kuku wangu wa kienyeji hawataki kuatamia kwa sababu wamechanganya mayai wakati wa kutaga, hivyo wanagombania sehemu moja wakati wa kuatamia. kukodi mashine ya kutotolesha (hatcher machine) ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
siku mbili zilizopita nilitembelea nakumatt pugu rd kwa ajili ya manunuzi. nilishikwa na butwaa kuona baadhi ya bidhaa zimeisha muda wake na nyingine zikiwa zimebaki siku mbili tu. mbaya zaidi...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Dar company gets Sh331 billion loan facility for trade expansion MeTL chief executive officer Mohammed Dewji.PHOTO|FILE The...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Ninahitaji fundi wa kunijengea green house ya nyanya up mt 8 kwa ur mt 15 no yangu cm 0765604750
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Nimeipata hii mahala nimemua nishee na ninyi hapa, Nisiulizwe maswali maana si mwandishi wa habari hii, nimei-copy tu Ukitaka maelezo kwa undani tumia contacts za mwandishi hapo chini...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Regional retailer, Nakumatt Holdings, will this weekend kick-off a series of consumer reward programmes to celebrate the opening of its 50th branch in Arusha, Tanzania, this Saturday. The...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…