Wadau,
Wale ambao tunahangaika na biashara na harakati za kujikwamua kwa kufanya biashara au shughuli zetu kitaalam, now it is a time.
Kwa wanaohitaji vitu vifuatavyo:
a. Business Plan -...
Katuni
Serikali imetangaza kuwa kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 inakusudia kutumia Sh. 19,853,331,000 (trilioni 19.853) kwa ajili ya shughuli za kawaida na maendeleo.
Kulingana na mgawanyo wa...
Wadau nina uwezo ya kupata zabibu za kutosha hata kufika kiasi cha tani 1 kutoka Dodoma ila tatizo sijajua wapi naweza pata soko la uhakika
Kama kuna mtu ni mdau au anamjua mtu yeyote anaenunua...
Waungwana mimi kaka yenu nimezaliwa kijijini kwetu hukoooo Tabora,, mimi ni mtoto pekee kwa wazazi wangu... wazazi wangu kwa kweli hali yao ni kama ya wengi wetu hapa Tanzania hasa sisi wa Bush...
Mr. Kinyua Gichuhi,a Kenyan entrepreneur, has relaunched digital shoe shining in the country.
Shoe Shining Goes Digital In Kenya.
You may have one time been in a situation where your shoes had...
Wadau wajasiriamali! nawasalimu!
Nimefanya utafiti na kupata jawabu kuwa watu wanachukia dagaa wa ziwa victoria kwa vile wanaandaliwa katika mazingira machafu na wanakuwa na uchafu! Nimeweka...
Nimepata mahali pakuchukuwa magunia ya TANGAWIZI ila nataka kujuwa bei ya kuuzia kwa gunia moja ni Tshs.ngapi kwa KARIAKOO?
HSANTENI KWA UNIJIBU KWA WLE WANAOJUA
A UNWEZA KUNI PM
Je una shida ya usafiri....? Kama ndio jibu lako ni Precious transport services company
Tunatoa huduma za usafiri wa aina zote.
1.usafiri kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama vile harusi,sendoff...
Branding ni muonekano wa biashara yako kwa mteja unaemtarajia kwa maana hiyo brand
Inahusika na inanafasi kubwa katika ukuzaji wa biashara yako na maendeleo yake kila jina ni
Brand lakini sio...
Fri Sep 28, 2012 4:46pm GMT
DAR ES SALAAM, Sept 28 (Reuters) - Tanzania's central bank has licensed the country's first credit reference bureau to encourage information sharing among banks to...
Nahitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. Iwe chini ya cc 1400. Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. Iwe haijawai pata ajali.
Kama unayo ni-pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.
Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz.
Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox...
Kiukweli kampuni ya ndege ya fastjet imetusaidia sisi wafanyabiashara wenye mitaji midogo kuokoa muda & fedha kwa mfano mimi nafanya biashara kati ya Dar-Arusha-Nairobi pia Mbeya & Johannesburg...
Kenya zipo dalili ya mavuno haba baada ya mvua kutonyesha kwa kiwango cha kuridhisha. Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao tunaomba mutujuze taratibu,faida,changamato ya biashara kuuza...
Wanajukua tupendakuwaarifu kuwa tunatoa huduma za KIHASIBU na USHAURI wa KIBIASHARA(part-time basis) kwa wajasiriamali wadogo na wasaize ya kati ambao kwa namna moja au nyingine wanashindwa kumuda...
Katika kupitia kwangu vyombo vya habari nikaona Tanzania Civil Aviation Authority wanafanya mapitio ya maombi mapya au kuendelea kutoa huduma kwa mashirika mbalimbali ya ndege hapa nchini...
Do you know that there are enormous investment opportunities in the Tanzania Renewable Energy. Do you know that Tanzania through Tanesco is implementing the Tanzania Energy Development and Access...
English:
Fee collection and management is one of the critical processes of a
school.
Easy-School- School Fees Management System - a complete school Fees
management software- that stores all...
kiwanja kinuzwa kkoo.bei mil 680.ukubwa ni 251sqm.kipo makutano ya muhoro na jangwani nyumba ya pili toka kwenye kona,nyumba ya 4,ukitokea mhoro na kongo.0718 240969, 0683142500
jaman napataje ile mashne ya max malipo kwa niaba ya luku na malipo mblmbl..na kwa yeyote anaejua biashara hii anisaidie mwongozo..
Natalaji muwazima..
Ahsante.