Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya akionyesha mkoba uliobeba Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Dodoma. Kilio cha muda mrefu cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
FHabari za ninyi wanaJF, Nimekaa nikawaza kutokana na ukweli kuwa watanzania wanapenda sana utamaduni wao mnahisi itapokelewaje biashara hii ya kuandaa kadi zilizo katika lugha ya kiswahili...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nataka kununua simu kati ya hizi nimezipenda ila sio mtaalamu sana wa hivi smartphone. Kati ya hizi ipi ni bora na support yake ikoje 1. HTC 1X 2. SAMSUNG NOTE II 3. IPHONE 5C...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Habari za leo wan JF. Nawaombeni msaada wenu. Mtu toka S.Africa ameniandikia kunipa ofa ya kurithi leseni ya marahemu David Rusell aliyefariki kwa ajali. Baada ya mawasiliano marefu amenitumia...
0 Reactions
3 Replies
813 Views
Swala Oil and Gas (Tanzania) plc CEO Dr David Mestres Ridge (3rd-L), executive director Abdullah Mwinyi (2nd-L), co-executive director Selemani Pongoloni (R) display the company's prospectus. In...
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Habari wadau, miaka ya hivi karibuni nyumba nyingi za hapa jijini Dsm zimekuwa zikiwekewa madirisha ya vioo vya ku slide na kuyapa kisogo madirisha ya mbao kwa marembo ya nondo, Je Tukizingingatia...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Nimeona niyaweke wazi yaliyonisibu ili airtel watoe ufafanuzi ili iwe faida kwa wote wanaopita humu. Mimi ni mtumiaji wa laini moja tu airtel. leo nimeweka vocha ya sh. 1000 na nikapiga *148*22#...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
C.C GKM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawasalimu! Nimesikia CRDB wameanza kutoa mikopo bora zaidi kwa watumishi wa umma kama waalimu, manesi nk. Mimi nahitaji kuchukua mkopo sasa,... Naomba mwenye ufahamu anisaidie kujua hasa vigezo...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
wakuu, habari zenu! Naomba kufahamishwa ni model gani ya gari aina ya Noah imara na madhubuti kwa 'rough road'. maana niko kwenye mchakato wa kununua. Michango yenu ni muhimu sana kwangu kufanya...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Biashara na uchumi hoyeeee. Mara nyingi sumu ya panya huweza kusababisha hatari ya watoto kuokota masalia ya chakula cha sumu ya panya usipotoa mapema. Nyanya mara nyingi hushambuliwa na panya...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Kampuni yetu inayojishughulisha na kuagiza bidhaa toka China, Pakistan & India tunayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania walio tayari kusafiri kwenda huko kwa ajili ya kuleta mzigo wa...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari zenu wadau! Natamani kufanya biashara ya bodaboda kwa maana ya kununua bodaboda na kutafuta dereva wa kuendesha wateja lakini sina uzoefu nayo. Naomba kwa wenye uzoefu tushauriane hasa...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
GOODDAY We are looking for importers/distributors/agents for retail and industrial confectionary products. Current exporting to more than 15 countries. We would like to expand our network...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni aibu kabisa Kwa nchi maskini Kama Tanzania kumruhusu wafanya biashara wa nje Kama Wachina kuja kufanya umachinga Tanzania. Sheria ya kulinda wafanya biashara wa ndani hapa iko wapi? Unakuta...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
United States next No. of billionaires: 515 Total net worth (2013): $2,064 billion Land of the free, home of the billionaires? Nearly a quarter of the world's...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
sio siri sijui wateja tumezidi kuwa wengi sana. kuna foleni ndefu ajabu. matawi matatu niliyotembelea kila nikichungulia nahisi nitakaa masaa ma3. nimeamua kuingia tawi mojawapo. hapa nipo kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Picha: Semina ya ujasirimali iliyohudhuriwa na walimu 150 Kibaya Mkurugenzi wa shirika la Elimu Kibaha Ndugu, Silipian Mtemba amesema atafanya kila jitihada ili wafanyakazi wote wa shirika hilo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kampuni ya Ndege ya Precision Air imesitisha safari za Dar-Mbeya kutokana na route hiyo kuwa ya hasara, na pia kutokana na kutokupatikana mafuta ya ndege katika mji wa mbeya. Hayo yamesemwa Afisa...
2 Reactions
119 Replies
11K Views
Enyi ndugu,nisaidieni kwa ushauli wenu juu ya jambo hili,nina milioni saba kamili na ninatafakali ni biashara gani nawe fanya kwa mtaji huo mdogo na nikasogeza pesa hiyo kutoka M7 na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…