Mara nyingi nimekua nafuatilia sana ununuzi wa bidhaa online mfano tv, laptop, phone na zinaoneshwa free shipping lakini ukitaka kuinunua wanasema hawawezi kuship kuja tz wanaship ndani ya US...
Wanau nahitaji carina ti na nissan elgrande ziwe katika condition nzuri.
Carina ikiwa black itakuwa nzuri zaidi
ushuru iweimelipiwa na kusajiriwa iliyopo barabarani.
Kama kuna mtu anayo
0687...
waheshimiwa
naomba ushauri
nataka ninunue solar kwa ajili ya nyumba yangu ya vumba 4
matumizi yangu ya awali ni: Friji, pasi, tv, radio, taaa,
sijavuta bado umeme wa Tanesco lakini nataka...
Receive money from anywhere in the world with PayPal. Equity PayPal Withdrawal service allows you a convenient way to receive money directly into your Equity Bank account. Learn more here...
Htc wildfire s
5MP camera. With LED flash
Android 2.3.6 (gingerbread) upgradable
Int mem 1gb with 512 ram
Cardslot upto 32 gb
Released June 2011
Huawei y300
5MP camera with LED flash
Android...
Napenda kuishauri mifuko ya hifadhi ya jamii kama vile LAPF, PSPF, NSSF na mingine kuwa na mtazamo chanya kwa kulenga kuwanufaisha zaidi wanachama wake kwa kutoa mikopo ya riba nafuu ya nyumba...
upo mjadala mkubwa juu ya uzawa na makampuni ya nje katika kutekeleza shughuli za kiuchumi, mimi binafsi taaluma yangu ni mhandisi ila natamani sana ningesoma uchumi maana Tanzania sioni wachumi...
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 55 urefu x35upana kwa 29mita kinafaa matumizi ya ujenzi wa nyumba ya makazi au gesti na baa kina barabara si ya kuomba ipo na kuhusu miundo mbinu kama maji na umeme...
Mimi ni kijana mwenye uwezo wa kuandika vitabu vya stori na vingine vya nafunzo. Kikubwa nakosa sapoti kutoka kwa watu wenye uwezo na wenye kunipa mchango wa kimawazo.
Nahitaji mchango wenu...
WanaJF, napenda kujuzwa iwapo nyumba imeuzwa
1. Kama ikiuzwa bei kubwa kuliko kiwango cha mkopo, kile kiasi kilichoongezeka unapewa mwenyewe?
2.Iwapo itauzwa chini ya Kiwango cha mkopo je bado...
Kwa muda sasa serikali imekuwa ikiendesha mpango wa kilimo kwanza ikilenga kuinua kilimo nchini. katika kutekeleza hili serikali imekuwa na mpango wa kugawa pembejeo za kilimo kwa wakulima...
If you ask Thomas Corley, being rich has very little to do with luck and everything to do with habits. Corley, who spent five years monitoring and analyzing the daily activities and habits of...
People watch as the first consignment of heavy steel being transported by rail from APM container terminal to Uganda passes in Mombasa May 22, 2014. Photo/Laban Walloga Nation Media...
Wakuu salaam,
Kichwa cha habari kinahusika.Ninaomba kama kuna mtu yupo nje ya nchi ama ndani ya nje mwenye exposure na uzoefu wa kutosha tuwasiliane kwa pm kisha tutapeana contact kwa mawasiliano...
habari zenu nyote wana Jamiiforums.
niniomba kwa yeyote anaeweza kunipa taratibu maana nilisha sajili jina la biashara,lakini sasa nataka iwe kampuni yenye ukomo ltd tafadhali