Watalamu wa mambo ya fedha na mikopo ya bank...naomba kujuzwa kama mtu umekopa bank ukawa unakatwa kwenye mshahara na ukawa umedhaminiwa na mwajiri wako, na wafanyakazi wenzako bila kuweka aset...
Wadau nina mpango wa kuwekeza kwenye Fertilizer Industry lakini kabla ya hapo ninahitaji inputs mbalimbali muhimu kupitia business proposal /feasibility study itakayofaa kuchukulia Loan au...
former Natural Resources and Tourism Minister, Zakia Meghji
Tanzanian tourism will be fatally wounded should 40 years closed border between Serengeti National park and the Kenyan Adjacent Maasai...
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, yenye leseni na imesajiliwa TRA.
KIMI inajishughulisha na shughuli za Project/Business consultancy services ( write-ups and...
Wanajamvi naomba nijuzwe kitu kuhusu hizi units za UTT leo nimepita pale sukari house kufuatilia status ya units zangu tangu mwaka 2005 nlivonunua nilinunua units 100 by then kwa gharama ya shs...
Kama mjuavyo ni nadra sana kukuta mjasiliamali si mdeni, mfumo wa shuguli za biashara au uzalishaji mali unapelekea watu kuwa na madeni. Imefika mahali mtu anaogopa kupokea simu kwa namba ngeni...
poleni na michakato yote wakuu..ninasehemu nimepata nataka niwe natengeneza juice..naomben mwenyekujua mashine yakukamulia juice ya muwa naweza pata kwa gharama ipi?pia kuna ile mashine yakutunzia...
Kampuni hii ni maarufu kwa jina la 'Alovera' ni kampuni yenye mameneja wengi kuliko kampuni yeyote nchini.
Ni kampuni nzuri kwa kusocialize huku una make money. Ni sehemu nzuri pia kwa kuuzia...
Nilitengenezesha licence ya company mwaka 2011..nikakopa hela bank mpaka nimemaliza deni mwaka huu..now kwa sasa naiuza license au nidanye share na mtu anaehitaji kufungua company kwa kutumia...
Habari zenu wana jamii forum,napenda kuwajulisha kua kwa wale wenye uhitaji wa mayai ya kwale,yanapatikana mjini D.s.m na mikoa ya karibu!bei kwa tray moja ni Tshs 15,000/= na pia iwapo utahitaji...
Wakuu salama ! Tunatafuta choo ikiwa ndani ya chumba chake cha plastic, hutumika zaidi hasa kwenye dharura au matukio ya sherehe pasipo na vyoo vya kutosha, tafadhali kwa...
Dear Friend,
Deogratius Kilawe here, following up about our next High Performance Leadership conference this June here in Dar Es Salaam, Tanzania and Lagos, Nigeria. I wanted to check-in and...
Kama unahitaji huduma ya hapo juu tupo kwa ajili ya kukufungulia na kusajili biashara yako,tupigie namba hzo 0759692024.
Hata kama upo mikoani tutakuhudumia kwa gharama nafuu.
Je, unahitaji website au System inayoweza kubrand na kulahsisha shughuli mbali mbali za ofisini kwako na kuongeza kipato chako. Jetas Innovations tunatoa Huduma ya kudesing na kudevelop website ya...
Natamani kupata habari za soko kwa ajili ya bidhaa za nafaka kama vile Mchele,Maharagwe na jamii zake.
Natamani kujua pia upatikanaji wa vitu kama frame,gharama za pango na fursa zinazofanana na...
Jamani naomba msaada kwa anayefahamu,kwa gari hii aina ya Toyota Harrier,itanigharimu shilingi mpaka kuitoa bandarini na kuwa nayo mkononi?na kwa wataalamu wa magari je gari hii ni si mtumiaji...
Habari zenu ndugu,
Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand...