Mako ICT ltd.
Mako ICT ltd ni kampuni ambayo inashughulika na mambo yafuatayo..
-System design{Software}
-Website design
-Networking LAN..
-Graphics design
-Mobile applications design...
Hope mko poa ndugu wanajamvi!
Niko mwanza and i really want to know wapi naweza pata mzigo mkubwa wa vifaa kama vile kalamu aina zote, daftari, paper glue, stepler, punches, chalks, reams...
Mimi ni mfanyakazi serikalini hivi karibuni nimekopa shs.10,000,000[miioni kumi] nimegundua wenzangu wengi huwa wanakopa na aidha kununua magari,kununua viwanja au kufanya mambo yasiyo ya...
Natumai ni wazima..aliekua na uwezo wakujifanyia mpango akaniwekea visa ya Italy,France,Germany,Austria nitamlipa dola US 1500 kwa visa tu..nipo dar 0772805006
Naomba anayejua namna ninavyoweza kupata rasta za aina zote kwa bei ya kiwandani, weaving na peds za aina mbal mbal pia wapi naweza kupata nguo za watoto za spesho kwa bei ya jumla baby diapers...
Ndugu wana JF naomba kama kuna yoyote ana link na wanaotoa quick short term loans.. Nahitaji kama TZS 5m repayable in say two/three months na security niliyonayo ni card ya gari, thamani yake ni...
Jamani kuna habari zimezagaa mjini kuwa kuna mikopo inatolewa Akiba Commercial Bank, katika pita pita zangu kuna jamaa wameweka namba zao za simu kwamba watu wanatuma pesa za kujiunga na walioweka...
Bado najiuliza kama nilikuwa sahihi kuchukua haka ka mkopo ili kuboresha maisha kwa maana maisha yamekua magumu baada ya kuchukua loan. Natumia pesa nyingi kwenye marejesho kiasi cha kufanya...
Ever wondered why it is so easy to buy goods online and not services? Or do you find it hard to find a reliable and trustworthy professional in your area or one who can perform a job up to par...
jamani ninampango wa kununua gari aina ya x trail
ila napata wasiwasi na bei za hizi gari zipo rahisi ukilinganisha na ukubwa na uzuri.wa hizi gari
naombeni uzuri na ubaya wa hizi...
Habarini wana jf!
Wana bodi ninaomba ushauri wa kitaalamu wa ujasiliamali na biashara kwenu, ipo hivi jamaa yangu wa karibu sana anamtaji wa milion 6 anaishi morogoro na dhumun la...
The big entrepreneurs and successful people or rich people in this world such as Robert Kiosaki (rich dad poor dad author) Donald Trump and others have shown a stage by stage ways of leaning how...
Si lengo la bandiko hili kuchukua sura ya kidini, lakini mara kadhaa nimeona watu wakienda katika nyumba za ibada kupokea sadaka kutoka kwa watu wenye uwezo. Wakati fulani nikiwa shule ya msingi...
Hi members
Ninaomba ku share na nyie pamoja hii kitu.
Kwa muda mrefu nilikuwa ninajaribu kutumia muda wangu mwingi wa ziada kujaribu kujiongezea kipato kwa kutumia internet (home business)...
Your are here » Home » Kenya ‘Namanga used to sneak in ethanol' Updated Tuesday, May 13th 2014 at 23:22 GMT +3 0 inShare Others also read this Village where 20 strokes of cane are...
Wadau naomba ushauri wenu kuhusu bajaj kama kuna model tofauti, ni ipi nzuri na inagharimu shilingi ngapi? kama kuna specification zingine naomba mnijuze kwani mim sio mtaalam wa vitu hvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.