Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salaam wana Jamvi, Katika hali ya kushangaza, picha hapo chini ni kitasa chamlango wangu nilionunua wiki 2 zilizopita. Kariakoo, risiti ninazo (TZS 100@230,000=2.3million). Cha kushangaza ni...
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Habari Wanajamvi, Tunapenda kuwataarifu wote wenye mahitaji ya uchunguzi hasa kwenye makampuni binafsi kama mabenki, NGO, Logistics,Clearing, na mengineyo ambapo wizi(Fraud) inaweza kutokea kuwa...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Kumekuwepo na ongezeko la bei ya vyumba vya kupangisha kila mara, wamiliki wa majumba wamekuwa wakipandisha kodi kila mwaka jinsi wanavyopenda wao maana hakuna sheria yeyote inayowabana. Mfano...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wana jamii nataka nijikite kwenye uagizaji wa dawa baridi kutoka nchi mbalimbali je mtu wa kawaida anaruhusiwa kuagiza dawa baridi kutoka nje na kuna process zipi za kuingiza dawa?na vipi kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu. Kumekuwa na mtiririko mkubwa sana wa Watanzania kuelekea Msumbiji, wanasema oportunities ziko nyingi kule, binafsi nimevutiwa sana lakini sijapata kuzungumza na Watanzania...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
31pc to Sh23 billion Share Bookmark Print Rating Safaricom's chief executive officer Bob Collymore. The telco has reported a 31 per...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Kuna gari aina ya VITZ nataka kuinunua kutoka Japan wiki hii. Engine capacity-1000cc Year/Month-2001/03 CIF U$1,900 Kwa anayejua gharama za pale bandarini pamoja na registration ya gari na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mwenye kujua kanuni ya kukokotoa mkopo wa nmb na benk nyingine naomba aitupie hapa mfano take home ya 950000 anaweza kukopa maximum kiasigani? au akikopa 15m atalipa kiasi gani kwa 5yr
1 Reactions
11 Replies
16K Views
US tycoon invests in assembly of Africa’s cheapest car in Thika Mobius vehicle will cost $10,000 (Sh870,000). Photo/FILE By JAMES KARIUKI...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Ni taarifa kwa wanfanya biashara za Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money kuwa kuna vijana wanaotengeza mifumo ya wizi kwa mfano wanakuja kutoa pesa katika simu ya wakala inaingia sms yakuonyesaha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari waungwana ! Ningependa niijue kwa undani biashara hii kwani huku niliko kuna uwezekano wa kuvipata kutoka kongo na wenyeji wa kigoma wa mji wa kihistoria wa ujiji wanavyo vingi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kipindi hiki cha masika watu wamiminika kwenda ziwani kutafuta samaki ili kujipatia kipato hasa akina mama kutoka vijiji mbalimbali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa maeneo ya mikwambe jijini dar.kipo mita chache kutoka bara bara ya lami.kipo sehemu nzuri kwa makazi,kinafikika kwa gari yeyote,and huduma zote zipo karibuni,bei yake ni milion...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninauza hicho kiwanja kinayo hati original. Kina ukubwa wa sq 1,113, kiko Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido, kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process ya mauziano...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Habari wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayejua gharama za kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia maji kutoka kwenye visima vya vina virefu. Naomba kujuzwa gharama za kuchimba...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
nina shamba la ekari moja na robo eneo la Iwambi nataka nizungushie ukuta gharama ya huo ujenzi inaweza cost sh ngapi? najua cement haitoitajika wala mchanga hapo ni mafundi tu. wakazi wa mbeya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Baada ya kufanya utafiti mrefu nimeamua kufungua akaunti ya dola na benki ya Equity , je kuna anaefahamu benki nzuri zaidi kwa akaunti hii?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wakuu. Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta kampuni ya Shipping agency hapa Dar.
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Pikipiki mpya kabisa aina ya boxer inauzwa 1,500,000/= namba za usajil T 877 CRK ipo arusha kwa anae hitaji awasiliane na mmiliki kupitia 0764876774
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom