Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kilimo ni mojawapo ya njia ya kukuza na kuinua uchumi wa nchi yetu, lakini bado wakulima wanapata shida kubwa sana katika mambo mbalimbali ikiwemo. Kukosa wataalam na washauri wa mbegu bora...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kupata taarifa zifuatazo kwa anayefahamu. Napenda kuwekeza kwenye kilimo. Hivyo ningependa kujua maeneo ambayo naweza kupata shamba lenye rutuba katika mkoa wa Morogoro ama Tanga...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
wakuuu mwenye uelewa na vitasa original vikoje naona wengi wananunua vya 6000 na 15000 na kama unauza ongea maeneo mwanza
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nauza Nokia Lumia L520 sh. 270,000 negotiable.Imetumika miezi 2 tu, ni smart phone nzuri/kali inayosupport Whatsapp, Instagram BETA, Camera, Cover na vitu vingine ving na iko kwenye hali...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Nawasalimu wakuu wa Jamii Forum,Kwa mwenye uzoefuna biashara Dubai Anaweza kunisaidia ili niweze kuchambua ni wapi nianzie.Kuna Mtu aliniambia kuwa Dubai vitu vinapatikana kwa bei ya kiwandani.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
WanaJF naombeni ushauri kuna viwanja viwili vyote vipo sawa kimoja kipo kiluvya na kingine kigamboni naomba ushauri nichukue kipi kati ya hivyo au sehemu ipi ni nzuri kwa makazi. Ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MAISHA ni duni, lakini kati ya wale ambao wanachangia maisha ya walio wengi kuwa duni ni wenye nyumba. Ziko sababu nyingi, lakini suala zima na nyumba za kupanga hasa katika Jiji la Dar es Salaam...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Naombeni ushauri kwa mtaji wa mllion moja naweza kuanzisha biashara gan itakayo lipa haraka?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Je wewe ni muuzaji wa electronics devices kama computer, tablets, simu, moderm na powerbanks? Chinaworldbuz inakupatia punguzo kubwa wateja wake wa bidhaa tajwa hapo juu. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Apple Inc is in talks with the Beats Electronic CEO and is soon expected to buy Beats By Dre for $ 3.2 Bn. Source: 1. CNN Money - Dr. Dre: 'I'm the first billionaire in hip hop' - May...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HALLOW!..USIKOSE BONGE LA EVENT LA KUSISIMUA, JUMAPILI HII KUJIONEA BUSINESS PLAN UNAYOWEZA KUKULIPA HADI 1.2 MIL KWA MWEZI. HII SIO YA KUHADITHIWA NJOO UJIONEE. VIJANA WADOGO WAKIPATA...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Matokeo ya nchi zinazoendea ikiwemo tanzania kuamua kutokuzalisha bidhaa zake yenyewe na kukimbilia kuagiza tuu bidhaa feki za China... ni sababu kubwa na ya msingi inayosababisha mfumuko wa bei...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina uwezo wa kurudisha shilingi 105000 kwa mwezi,naweza kukopa hadi shilingi ngapi,ikiwa nitarejesha ndani ya miaka 2?Ningependa kujua ni benk gani niende?
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Jamani nipo hapa kutaka kujua ni njia gani zinazotumika kutuma pesa toka ulaya. Niliiona post moja inayo husu hii maada lakini sikurizishwa na majibu. Naombeni msaada wenu jamani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu tunaomba ushuhuda wa watu waliokwishafanya biashara na hii kampuni inayojitangaza imesajiliwa China na Tanzania kuwasaidia wafanyabiashara wa Tanzania kuagiza bidhaa kutoka China. Watu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi! Mimi ni mgeni jukwaa hili japokuwa nimekuwa nikiingia kama mgeni (guest) Kwa muda sasa, ninaomba Kwa mwenye uelewa na fursa za biashara kati ya India na Tanzania Kwa sisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yesterday it was reported that Apple was in talks to pay $3.2 billion for Beats Electronics, which makes audio gear (mostly headphones) and offers a streaming music service that competes with...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Habari ya Kwako ndugu mtanzania! Tunakukarisisha kwenye ofisi yetu ya Chinaworldbuz Company Limited, karibu ni gorofa ya 10, jengo la Ushirika Tower, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja Dar es...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
"Aliko is Africa’s richest man, and his business activities drive economic growth across the continent. That’s impressive, but I know him best as a leader constantly in search of ways to bridge...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mfonobong Nsehe, Contributor I chronicle Africa's success stories and track its richest people Follow (618) 5/02/2014 @ 5:43PM |6,019 views Tanzania's Richest Man Concludes Sale Of Vodacom...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom