Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jamani hii gari inanisumbua mbaya, inazima kwenye foleni, inatoa moshi mweusi, inakosa nguvu. Mafundi vimeo kila siku wananilia hela mara plugs mara kusafisha oxygen sensor mwenye ujuzi please
0 Reactions
0 Replies
961 Views
HABAR ZA MUDA HUU, NAOMBA MSAADA WA KUFAHAMISHWA NA WATAALAM WA MASHINE AU YOYOTE AJUAE HILI, SWALI; IVI MASHINE YA KUSAGA MAHINDI INAWEZA KUSAGA MABUNZI (MAGUNZI) YA HAYO MAHINDI NA KUWA CHAKULA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
361,481 new babies born every day! Lucrative FMCG diaper market. You will find our premium baby diaper, ROBUST COMPETITOR IN PRICE & QUALITY, right here! 1. Ultra absorb core for outstanding...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Wanabodi, Ingetrex Tanzania, ni Maonyesho ya Kimaifa ya Biashara, ambayo yatafanyika kwa siku 3 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, kuanzia Tarehe 15 hadi 17 ya mwezi huu wa May. Katika maonyesho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimefungua duka hapa dar es salaam, so kama kuna mtu yeyote anayeuza mchele na maharage ya soya kwa bei ya jumla ambayo ni reasonable tuwasiliane ili awe ananiletea kilo mia kwa brand tatu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya CRDB iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam. Naingia kwenye menu ya CRDB mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kujua fursa za biashara china. Naona watu wengi wakienda china but sijui kuna potential gani , mtaji pamoja na faida. Kwa wenye info tupiamo Sent from my iPhone using Tapatalk
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Wakuu salama ? Nimekua nikisikia kuhusu hisa, watu wananunua na baadhi ya makampuni na mashirika yanakuwa yanauza hisa zao. Hizi hisa bishara yake inafanywa kwa mtindo upi, yani kampuni...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Nimerudi toka ughaibuni ,vijana wanaita mbele ambako nilikuwa nisoma machenical egr miaka 4 na nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kutafuta uzoefu.. Nimekuja kwaajili ya kuendeleza Taifa letu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Ili kuboresha ulinzi hasa kwa matela wa saccos zetu tunaomba kufanya kazi na nyinyi katika kuprovide bank counter, counter hizi zipo kama kounter za bank zinakuwa na cash tray, bullet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natoa huduma za bima za vyombo vya usafiri kwa bei poa kabisa. tupo ilala boma, mtaa wa mororgoro karibu na msikiti opposite na mahakama ya mwanzo. lakini pia tuntoa huduma ya kukufuata ulipo bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
USA under very Black* President in the world's History against the Chinese white president Probable Obama ataweka rekodi nyingine safari hii kwa taifa la marekani. In any event, it was only a...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Wapenda wanaJF naomba kujua gharama za bandari kwa gari aina ya TOYOTA CROWN ROYAL SALOON G, MWAKA 2000, CC 2990
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bill Gates sold nearly 8 million shares of Microsoft over the past two days. NEW YORK (CNNMoney) For the first time in Microsoft's history, founder Bill Gates is no longer its largest...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania's Richest Man To Sell Stake in Vodacom Tanzania’s richest man, Rostam Azizi, has agreed to sell off a significant chunk of his stake in mobile telecoms outfit Vodacom Tanzania to Vodacom...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Janvini oyee Sasa nimekuwa nikisoma oo kila mara watu wanasema tuna hela na hatujui tuzifanyie nini na sisi kama raia wema tunao itakia nchi yetu mema siku zote tutakuwa karibu yenu Mtu...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Mkurugenzi mkuu wa CRDB Bank Dr. Charles Kimei , ameorodheshwa tena kwenye tuzo ya African Banker of the year award kwa mwaka 2014. Tuzo hii hutolewa na Benki ya Africa (ADB) kwa viongozi wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau nimepoteza doc zangu zilikuwa na TIN number, is there a way of retrieving it hata kwenye web ya tra na leo j2 hawako kazini ningewapigia kuuliza. Msaada plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
-Nina bonde ekari 1 -waterpumb mm 250 -Ardhi yenye rutuba,maji ya uhakika eneo lina ulinz wa uhakika. -Eneo lipo jiran na barabara kuu(DAR-DOM) Nahitaji mtu atakayenisaport mbegu,gharama za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
XFT HISTORY. Xtreme fuel treatment is the product patented and time tested for nearly two decades in industrial market around the world. Extensive testing and performance measurement data prove...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom