Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salaam Unahitajika mtaji wa HARAKA kwa lengo la kufanyia tender ya dharura (Supply) kwenye taasisi fulani. Mkopo unaotakiwa ni kiasi cha Tzshs. 3,000,000/= ambapo malipo yake yatafanyika ndani ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ndugu wana janvi, kwa mwenye ufaham kuhusu mashine za kutengeneza sabuni za mche naomba anijuze upatikanaji wake pamoja na bei.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari Ndg zangu wanaJf, Napenda kuuliza maswali yafuatayo kwa wenye uzoefu na biashara hizi. Ushauri wenu wa kitaalamu ni muhimu sana kwangu... 1.Ni mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada nitafanya mradi gani ambao unaweza kuwasaidia watanzania wachache wanaopenda ujasiriamali na biashara na nina sh 30 milioni. Naomba msaada wa maelezo a kutosha juu ya hilo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nimeamua kufanya business ya tours kwa wale wenye kutaka kutembea Zanzibar. Lengo hasa ni kuwa target wanafunzi wa shule mbali mbali Tanzania na kuwawezesha kuja Zanzibar...
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Major trade deals top agenda as China PM visits Kenya Share Bookmark Print Rating A section of Thika Superhighway. Chinese companies have...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Home Magazines Magazines Demand for luxury cars soars in Kenya Share Bookmark Print Rating Later this...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukubwa square metre 1516, Kipo karibu na barabara.Kimepimwa na Hati ipo nimechukua wizarani jana(picture attached).Bei ni millioni 19.Mazungumuzo yapo. 0653 967 510 No Dalali pliz
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HABAR ZA MUDA HUU, NAOMBA MSAADA WA KUFAHAMISHWA NA WATAALAM WA MASHINE AU YOYOTE AJUAE HILI, SWALI; IVI MASHINE YA KUSAGA MAHINDI INAWEZA KUSAGA MABUNZI (MAGUNZI) YA HAYO MAHINDI NA KUWA CHAKULA...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
natanguliza shukuran zangu za dhati kwenu kwani hii ni.sehemu.pekee nayowezaa kuongea kuthubutu kuongea kwa ujasir hoja:naomba kufahamishwa ni njia gani ni rahisi kutuma pesa brasil kwani kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF nataka kuanza biashara tajwa hapo juu. Yeyote mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anijuze gharama zake ziko vipi na kodi za watu wa misitu ziko vipi, Na kama ni biashara yenye...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
BF SUMA TANZANIA REPRESENTATIVES NEEDED URGENTLY. 10 REASONS TO JOIN BF SUMA'S NETWORK MARKETİNG SYSTEM. 1. 20% discount on any products purchased by you as a registered distibutor. 2...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Natanguliza shukran zangu kwenu wataalam. Mimi ni mhitimu kutoka Sua,na Mwenyeji wa Mkoa wa Simiyu wilaya mpya ya Itilima. Nimepata kazi ya kuajiliwa lakini boss wangu kani-inspire sana koz yeye...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
  • Closed
Wadau Mim ni mjasiriamali nna ticket tajwa 2 za watu wazima 1 mtoto mchanga, pia nililipia mizigo ya kwenda safari ya kwenda na kurudi Kilimanjaro Airport Safari nime cancel, nachohitaji ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
It may come as no surprise, but in 2014, the world’s richest people only got richer. In fact, the top 66 richest people in the world now have more wealth than the poorest 3.5 billion people...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
jamani natafuta sehemu yenye fremu ndogo ya kufanyia biashara ndogo,sehemu yenye mzunguko wa watu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sijawahi hata kusafiri na bei wanayoitangaza . tutabaki kufika mbeya kwa mabasi tuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mwenye ujuzi au mafundi wazuri walipo hii gari inanisumbua inazima barabarani, inatoa moshi sana mweusi, inakula mafuta mwenye kaujuzi please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haijalishi una biashara gani ...sisi tunakutangazia biashara yako...tunakusidia kuwafikia wateja wako....jaribi nasi.. Swahilitechologies.co.tz Au tupigie simu 0719373606...tuje tuzungumze....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom