Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

mitsubish lancer, cc 1400, year 1998, bei 4.8mln, vibali vyote viko valid...gari liko ktk hali nzuri sana...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Wanabodi, Kesho kunafanyika Maonyesho makubwa ya biashara yaitwayo Ingetrex yatafanyika kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuhusu maonyesho hayo angalia TBC asubuhi hii ya saa 12:30 asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wakuu nina duka langu hapa mjini ila nataka niwe naenda kuchukua mchele mwenyewe huko morogoro asa naomba kwa yeyote anayewefanya hii tusaidiane ili wakati anakodi let say gari nzima na mie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina haja na salaam,(nina hasira).hivi nyie tigo...wenzenu wanakazana kuongeza vifurushi nyie mnapunguza,sasa kabla sijawahama rudisheni kile kifurushi cha kupiga mitandao yote cha dk 12 fasta.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, msaada kidogo nilikuwa nawazo la kufungua dry cleaner, nilikuwa nataka kujua ni vifaa gani vinatakiwa kuwemo ikiwemo mashine nzuri na upatikanaji wake na bei zake ambazo ni standard...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu...Naomba kupata msaada na ushauri kuhusu miti ya mbao kama inaweza kukua vizuri bila tatizo kwa mikoa ya Pwani na Dsm. Ninauliza.hivyo kwasbb udongo wa mikoa ya pwani si sawa na...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
ver wondered why it is so easy to buy goods online and not services? Or do you find it hard to find a reliable and trustworthy professional in your area or one who can perform a job up to par...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wenye mahitaji ya madirisha.milango na vifaa vyovyote vya aluminium tuone Ndanda Aluminium tuko Toangoma.hata kama huna pesa ya kutosha lipa robo tatu unafanyiwa kazi na robo utalipa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman nataka niinunue hii simu lakn je ninaweza nkaiflash ikaingia lain zote?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar-Reunion Island direct flights on cards May 05 13:512014 Arrangements are underway to have direct flights linking the French La Reunion Island to Tanzania, it was revealed here over the...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii, Nina plan ya kuanzisha kilimo cha mahindi maeneo ya Inyala Mkoani Mbeya. Nimepata ekari 20. Lakini sijawahi kilima mahindi mkoa huo. Kwa hiyo kabla sijaanza nilipenda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari ndugu Nissan march inauzwa new model ya mwaka 2002,kutoka singapore ni no. C .bei maelewano.kwa mawasiliano piga no 0773496161.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Limekuwa ni tatizo sugu hususan kwa taasisi za serikali kuita wasaka ajira masikini kutoka maeneo mbalimbali ya nchi bila kuzingatia haki za binadamu kwa kuwalipa gharama za usafiri, malazi na...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Eneo la ekari 11 wilayani Mbozi linauzwa linafaa kwa ujenzi wa shule, parking ya malori yaendayo Zambia na DRC likiwa na umeme simu 0762246322
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa JF nimekuja tena hapa kwenye safu hii kuwakumbusha kwamba viwanja bado ninavyo na bei zetu bado ziko chini kulingana na mahitaji yako. Viwanja 20* 25 bei ml 4 kilomita toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanza.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele amewataka wachimbaji wadogo kutumia vizuri fursa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kukopa mitaji ili kununua mitambo...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Wanabodi, Ingetrex Tanzania, 2014, ni fursa za kushiriki biashara za kimataifa kwa bidhaa na huduma ambapo sasa kwa mara ya kwanza, fursa hii, imeletwa Tanzania ambapo itaanza kwa maonyesho ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido-ARUSHA kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Wanajamii. hivi wapi naweza pata nokia lumia 1020 Original yenye 41 megapixel. Je bei yake ni kiasi gani hapa dar? thanks
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nairobi bourse to sell up to 38 pc stake in IPO Share Bookmark Print Rating NSE's pretax profit more than doubled to Sh379 million last...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom