Heshima kwenu wakuu.
nimetoka kumdhamini jamaa yangu mkopo bank tajwa.
Hii riba haikubaliki Tanzania amekopa 5m rejesho 565,000 kwa mwezi mara miezi 12 .
Najiuliza bank kuu ya Tanzania haina...
Katika matangazo ysliyopitwa na wakati katika dunia ya leo ni hili la GEPF!
Katika kipindi cha magazeti asubuhi, baada ya ripoti za traffic barabarani, ndo linaingia tangazo la GEPF.
Kwanza...
Samahani wana jamvi mm ni kijana nimetengeneza group langu la watu kama 40 na katka watu hao tunechanga sh 200000 kila mmoja jumla tuna taklim 8000000 katka cash asset yetu so tunataka tufanye...
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa...
Wakuu nina lain yamgu ya uwakala wa m-pesa asa kiukweli mtaji wa kuiendesha ni kidogo so nimeamua kuiuza!! BEI TSH.180000/= pungufu unaongea,niko dar es salaam. 0715304808 na 0767167732. Nipgie au...
Habari ndugu Mtanzania! Ninakuletea habari njema kuwa jipatie school uniforms kutoka china zenye ubora wa hali ya juu na bei ambayo ni yakuweza kufikiwa.
Kumekuwa na shida kwenye mashule na...
Mantrac Tanzania will take part at the Contractors Registration Board (CRB)annual consultative meeting and exhibition (29 -30th May 2014) toshowcase its global construction technology, products...
Indian Medical Travel Agency, MakeWell looking for partners to work with them in Tanzania. They arrange all travel plans, accomodations and getting best hospitals or physian at relative low-cost...