Habari,
Gari zinauzwa, zimetumika Japan tu na ziko kwenye hali nzuri sana. Hazitumiki Tanzania zinangojea mteja. Zimelipiwa kodi halali na gharama zingine zote ila bado hazijasajiriwa.
Bei...
Wadau kwa yeyote mwenye uzoefu na ujuzi wa mambo ya Loans,
Naomba anijuze nifanyeje ili niweze kupata mkopo wa 1,000,000.
Nina biashara yangu ndogo yenye mtaji wa milioni 7.
Sina nyumba ya...
Mimi kijana naishi mkoa wa Kagera naomba ushauri nina Mtaji wa Milioni Moja nimeplani kufanya bihashara ya Internet cafe je inawezekana kwa mtaji wangu na kama haiwezakini ni bihashara Gani naweza...
Naombeni ushauri kunabiashara.nimefungua ya kuuzanafaka.kama maharage,mchele,mahindi,karanga.viazimviringo.dagaa,nk.sasahiibiashara naonainaniumiza.sana kichwa.kwaninauza sana ila.sionipesa.wadau...
wakuu habari! kuna ubishi hapa jamaa amejiwekea ndani dola za marekani 17000 zina miaka mitatu sasa anataka kwenda ku-change ametokea jamaa amemwambia kuwa dola ya marekani huwa ikikaa mwaka...
The richest man in Tanzania gets richer....
http://www.tzbusinessnews.com/rostam-aziz-earns-ths-384-billion-from-vodacom/
Chama Cha Mapinduzi (CCM) party stalwart Rostam Aziz has earned USD...
Habari za Jumapili .
Naomba kuuliza.
Je Kuna mtu ameshawahi kutuma kitu kwenda Dar kwa kutumia USPS - United States Postal Services na Kikafika ? Je kama ulifika uliuchukulia mzigo wapi...
habari zenu wakuu.
napenda kuchukua nafasi hii kuwashawishi hasa vijana wenzangu wanao hangaika kung'ang'ania town wakati kuna deal kibao vijijini.
1:ukubaliane na uhalisia wa maisha yenyewe ya...
Wengi wanapenda kutangaza biashara zao, matukio yao ya kijamii, jinsi alivyotokelezea siku husika na mengine mengi. Ulimwengu wa digitali huu. Hifadhi kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na matangazo mapya mjini yakitangaza ujio wa kinywaji kipa cha MO COLA. Ujio huu umeambatana na vinywaji vingi vya aina hiyo kutoka kampuni ya METL...
Kichwa cha habari kinajieleza...wadau nmekua na wazo la kuuza bia kwa jumla ila sina uzoefu wowote kama kuna mtu yoyote mwenye ufahamu wa jinsi ni vip naweza kupata cret na chupa tupu za bia,pia...
Poleni na hongereni kwa kazi wana jf. Naomba kwa mtu anayefahamu hatua za kuanzisha NGO, Ushauri wa usajili na masuala mengine ya ki uzoefu wa namna ya kuendesha NGO anieleze kupitia jf...
IKIWA NDIO SIKU YA KWANZA.
Umefungua garage yako ya kutengeneza magari!!! ukaipa jina la "BMW garage"
ukitengeneza magari ya aina ya BMW tu!!
LAKINI MPAKA KUFIKA SAA NANE MCHANA HAKUNA HATA...
Hari zenu wanabodi,
Nahitaji mwezeshaji/mwekezaji ambae tutashirikiana ku-run project ya ujenzi wa mradi wa maji.
Contract na majadiliano ya returns as per capital invested yatafanyika kwa uwazi...
Wakuu,kati ya kufanya biashara ya kuuza nguo vyuoni hapa Dar kwa mtaji wa laki moja,na kufanya kazi kwenye godauni kwa mshahara wa laki moja kipi ni chema hapo jamani?
Nishaurini wakuu.nahitaj...
Hichi chama chetu cha TUICO mimi binafsi sikisomi kabisaaaa! Michanga mnapata tena kwa kutumia withholding method, inakatwa juu kwa juu lakini kwa nini maendeleo ya chama hatuyaoni ukilinganisha...
Habar wanaujasiliamali naomba mwenye ufahamu n.a. hii biashara anijuze sehemu yaan kuchukua mzigo na bei zikoje pia inalipa au nataka fanya hii kitu ..msaada
ndugu wanajamii.
Ninaomba ushauri, nimeanzisha biashara ambayo haijaanza kufanya kazi. Nilikopa SACCOS nikaanza kujenga eneo la ofisi, na mahitaji mengine yanayohitajika katika kuuza bidhaa...
For a long time The East African Tourism Industry has not captured Android and Apple/iOs Phones and Gadgets as a venue for marketing despite (Android and Apple smartphone vendors shipped a total...