Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sekta ya Utalii Africa Mashariki ? Je, Wajua 65% ya Smart phone Duniani hutumia Android ? Kwa muda mrefu Sekta ya Utalii ya Afrika Mashariki haijatumia technologia ya Android na Apple / iOS...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
With sound macroeconomic fundamentals confirmed, African countries could expect increased interest by private equity investors in their small and medium enterprises.There is huge pent up demand...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Wana Jukwaa Hongereni kwa Kazi. Ningependa kujua unapoanzisha kampuni ni wakati gani unahitaji kuacha unallocated shares. Faida yake nini na hasara zake ni zipi.Kazi njema
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Mimi sio mwajiriwa popote, nina shughuli zangu ndogondogo tu za hapa na pale. Nina shida au dharura ya ghafla ya kifedha kiasi cha Tshs 15Million. Wapi naweza kupata kwa haraka huu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wafanyabiashara wa Nigeria washauriwa kuwekeza nchini Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Daniel Ole Njoolay, akikata keki huku akishuhudiwa na Mwakilishi wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ambaye amewahi kutumia Granite/Marble tiles na slabs za hawa jamaa wanaojiita China Gold Development Group (CGDG), je Gharama wanayotoza ya 26$ kwa square metre inaendana na ubora wa bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau naomba msaada hapo kuhus corporate,shares & bonds na ntazpataje???
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam ndugu, Naomba kwa anayejua anijuze ni namna gani nitaweza kuwatibu kuku wangu wa kienyeji kutokana na ugonjwa unaowasumbua.Ugonjwa huo unawatokea kuku ghafla na moja a dalili zake ni kuku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Naomba mnisaidie hili jambo,ninahitaji kuanzisha biashara ya kuuza uzi (kwa jumla) wa kufumia au siku hizi wanashonea nywele,tatizo sijui kiwanda kilipo,kariakoo nikienda...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wana Jf, Kwa mwenye kufahamu zaidi juu ya African life Assuarance naomba anijuze, walikuja kazini wakitafuta wanachama, nilisita kujiunga sababu ndo mara yangu ya kwanza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, mimi nimekuwa nikitumia airtel line kwenye modem kupata internate na wakati mwingine kutumia kwenye Samsung galaxy tablet 2 kupata internante.Cha ajabu nikuwa hivi karibuni utanapata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam, Nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara. Niwapi naweza pata huduma hii? Asante.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naombeni mnijuze riali moja ni sawa na shilingi ngapi?plz Cheki hapa http://www.currency.me.uk/convert/omr/tzs
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau natumai mko shwari. Leo nimepita hapa Korogwe, Tanga nimekuta msako wa TRA dhidi ya bajaji ambazo hazijalipa mapato. Hivi serikali hawakuiondoa bajaji kwenye kodi ya mapato? Mwenye taarifa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari ndungu zangu. Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa. Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwawale wanaojua naomba mnijuze bei ya samsung galaxy s2 na nokia lumia
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndungu zangu,,, Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa... Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu, kwa upendo tu, naomba mnijuze kati ya tablets, s3, s4, au s5 n ipi kat ya hz zinazohitajika na kupendwa sana na watu. Nina mpango wa kuanza kuagiza bidhaa za nama hiyo na...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Kuchukua mkopo na kuanzisha biashara au kuchukua mkopo na kuanza ujenzi kama una kiwanja tayari kipi bora kianze wadau, karibuni kwa maoni na mawazo huru
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…