Habari wanajamii, nilikuwa na ndoto ya kusave nije kuanza biashara ya kusafirisha mizigo (kutumia semi) au hata kuwa na tipa la howo la 20cm3.
Nimejikuta kuzikubali sana hizi tipa za howo kasoro...
NMB CHINI YA WAZUNGU
NMB CHINI YA WAZAWA.
NMB imekabidhi gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma yao ya kuhakikisha wanaleta...
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza hapo juu muda mrefu nimekuwa na mpango wakufungua car wash pamoja na car body repair ambayo itakuwa na ubora na yenye kufanya kazi kwa ubora wa hali ya juu...
Wakuu Salama??
Nina Eneo ambalo nimepambana Kujenga Kwa ajili ya Biashara ya Pharmacy na Vifaa Tiba. Lipo kwenye Finishing. Nahitaji mbia/Business partners ambaye tunaweza Kuingia Makubaliano ya...
Wale wazoefu wa kufanya biashara kwa muda mrefu na kwwa mafanikio..
Mazingira ya kufanya biashara kwa nchi ya Tanzania yamekua magumu,tunaona migomo sehemu mbalimbali nchini, na zaidi hata...
Habari wakuu,
Hivi kwa mtu umeingia kwenye vat tayari halafu unakuwa na changamoto ya kupata risiti za manunuzi yaani unaponunulia hupewi risiti kabisa au unapewa risiti kidogo sana.
Sasa...
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya kuuza magari yaliyotumika kutoka Japan ya Kobe Motor,imetoa zawadi mbali mbali kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wateja pamoja na kusherehekea...
Mchina Anayedaiwa Kuanzisha Mgodi wa Madini ya Ulanga Kinyemela Kusakwa
Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa amemwagiza afisa Madini mkoa wa Songwe kushirikiana na Ofisi ya Halmashauri ya...
Kiungo cha pesa kinachohitajika kuanzisha biashara au mradi hutofautiana sana kulingana na aina ya biashara au mradi, ukubwa wake, mahitaji ya kuanzisha, na mambo mengine mengi. Hapa kuna mambo...
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazozalisha pamba kwa wingi. Kulinga na na taarifa ya Bodi ya pamba, Tanzania huzalisha wastani wa tani 220,000 za pambambegu kwa mwaka. Na huwakilisha asilimia 10...
Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi...
Habarini wana JF, nitangulize shukrani za dhati kwenu wote.
Nahitaji kuanza maisha yangu mjini Kahama. Natambua kuna wazoefu na wenyeji wanaoijua vizuri. Nina mtaji mdogo tu wa milioni moja.
Je...
Habari za wakati huu nduguzangu. Mungu ni mwema juu ya mapitio yote ya hapa na pale naamini sote tu wazima, penye walakini Mungu alete neema. Nilifanikiwa kupata ID ya mtihani siku ya mtihani (kwa...
Naomba nimpe kibarua pia nimpongeze January Makamba, kwa uongozi safi wa wizara husika, hakika upele umepata mkunaji.
Lengo la uzi huu ni kumuomba Makamba kuwaalika wawakilishi wa viwanda vya...
Ni maeneo yapi yenye fursa kubwa zaidi ya kuwekeza kwa kijana wa miaka 18 hadi 25? Na ni kwa nini sehemu hizi zinachukuliwa kuwa bora kwa uwekezaji kwa vijana?
Asalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.
Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko...